Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Jeshi la Israel Limelipua makao makuu ya Hezbollah Beirut wakati Netanyahu anaendelea kutoa speech umoja wa mataifa

Makao makuu ya Hezbollah mjini Beirut yamechakazwa vibaya kwa ndege za kivita za Israel na kuharibu eneo lote kabisa, shambulio Hilo lilimlenga kiongozi wa Hezbollah Hassan nasrallah ambaye haijulikani alipo mpaka sasa

Hamas huko aliko anachekelea shoo anayokutana nayo mwenzake.

Hezbollah alikuja kwa mikwara "Oi mzee Baba Hamas niachie nikupokeze mchumba tu huyo, vitu vyangu hivi". Hamas akauliza "Kweli unataka?", Hezbollah "Unauweka unauweka..." kinachoendelea ni kinyume kabisa ya walichotegemea

View attachment 3108670
Waziri Mkuu wa Israel ametumia Trick ya movie ya The God FAther😁😁 Michael alikuwa Kwenye Ibada ya Ubatizo ,huku kikosi chake cha mauaji kinamaliza Madoni wote kwenye 5 strong Mafia Families of Newyork.. Nasra alijua kuna Mapumziko ya mvua ya Makombola ya Israel kwa sababu Netanyau yupo UN anatoa speach , akaitisha kikao cha kupanga mikakati akijua yupo salama kumbe was their Last supper Kaboom🤣
 
Netanyahu mwenyewe is the Don Mafia himself😅
 
Si ndo nyie mlikuwa m
Hivi hawa jamaa hawana jeshi au? Hivi hawana hata ndege au hata kifaru?Nchi gani inaonewa na Israel sana

Jeshi lao sijui lipo na linafanya nini

Ni nchi ambayo wakristo ndo wengi hata sheria za lebanon zinasema rais lazima awe mkristo na waziri mkuu awe muislam!

Maana Israel anaingia na kupiga atakavyo hawa watu sijui ninini shida
naleta threads za kuionya Israel eti itakutana na jeshi machachari la Hezbollah humu ndani? MNapendaga sana ushabiki wa kindezi. Nawazumugi mnapoishangilia Urusi kwa sababu za kijinga tuu. Onjeeni hicho kikombe. Huyo Irani mwenyewe ni mbwa koko tuu anayebweka hovyo.
 
Jeshi lipo lakini halijihusishi na vita. Israel anapigana na kikundi kidogo tu kama vile alshabab ya Somalia au bokoharam ya Nigeria.

Wafarisayo wa yombo sasa..... Israel taifa kubwa..... IDF inawashambulia vibaya.....

Kiuhalisia Israel na nyenzo na vyombo vyake vyote ni failure. Huwezi kuhangaika na wanamgambo tu miaka kibao huku ukiua wanawake na watoto wasio na hatia.
Hezbollah ina nguvu kuliko Jeshi la Lebanon for your information.

Ni makubaliano Kati ya Wakristo, Wasunni na Washia kuwa Jeshi lao litakuwa dhaifu hili Jeshi la nchi lisije kutumiwa na Dhehebu lolote la Dini.

Nashrallah Ndio alikuwa de-facto dictator wa hiyo nchi.

View: https://x.com/amjadt25/status/1839778211003060404
 
Back
Top Bottom