Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Nadhani ndugu yetu alidhani hata wale ambao walianza mafunzo hayo ya kujitolea miaka kadhaa iliyopita na bado wako kambini, ndio hao wanaotakiwa kurudi mtaani.
 
Yawezekana kati ya Watanzania wote Milioni 55+ ni Wewe tu Bumunda pekee ambaye umeshindwa Kuielewa vyema kabisa hii Taarifa kutoka JKT.
 
Nashangaa sana kwanini Mtu anatoka jeshini halafu anakuja kuwa jambazi au kibaka wakati jeshini tunafundishwa nidhamu na uzalendo
Umeuliza Swali la Kipuuzi kweli kweli Ndugu. Mbona huku Mashuleni tunakosoma pia hufundishwa Nidhamu lakini Watukutu hutokea huko huko?
 
Nidham na uzalendo hizo ni personal ethics.
Zinaanza na mtu mwenyewe.. wala si kwa kulazimishwa.
Na shida ndipo inapoanzia hapo! Mtu anajijua kabisa hawezi na hayuko tayari kuwa mzalendo wala kuwa na nidhamu anaenda jeshini kufanya nini!
 
Umeuliza Swali la Kipuuzi kweli kweli Ndugu. Mbona huku Mashuleni tunakosoma pia hufundishwa Nidhamu lakini Watukutu hutokea huko huko?
Kwahiyo kuwa Jambazi ndiyo suluhisho mkuu
 
Shubaamiti ile 200k yangu mtanirudishia maana nimesafirisha dogo toka kusini hadi magharibi mwa nchi.Muda fulani tuwe serious jamani hizi hela nimetafuta kwa ugumu sana.!!
Bora Wewe hiyo Hela yako tu, Mimi nina Dada Wawili pamoja na Mama yao kuna Kitu muhimu cha Mwilini walikitoa ili wapite na sasa wamekosa.
 
Tujiandaeni tu Kukabwa sasa Mitaani tena kuliko hata tunavyokabwa Kistaarabu kwa sasa. Na walivyo wengi Mitaani safari hii tutawakoma sana!
Nashindwa kuelewa hivi kwa nini serikali isiwakusanye wote hata kwa lazma ikawapeleka hata mali asili huko wakaparangane na masokwe huko tuna mbuga kibao za wanyama zinahitaji askari kila siku na vijana wako tuu mafunzo wanayo kazi hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…