Sawa Captain Tesha...salute.Itakusaidia nini? Kwamba unataka akuaminishe mi nani? Subiri kuelekea 29/10 utajua mi nani.
Sawa Captain Tesha...salute.Itakusaidia nini? Kwamba unataka akuaminishe mi nani? Subiri kuelekea 29/10 utajua mi nani.
Alishasema Haogopi kufa, wapo wengi, mtaua wote? Asipojitokeza kabla ya tarehe 29/10 tutajua kafa kishujaa wataibuka wengine kwa hatua zifuatazo .... endeleeni kutubezaWrite your reply...rip tesha umeacha simanzi kwa familia yako
Wala hata MP hashughuliki na huyu Captain wa Jeshi La Anga, MP ni kwa wanajeshi wa nchi KAVU, nakupa hii huyu mkuu wake wa kumshughulikia anaitwa Air Police, Security Police au Security Forces ndiyo wanahusika na hawa wanajeshi wa Anga endapo ikibainika ka MESS UP na taratibu zao.. Angekua ni mwanajeshi wa majini kuna Masters-At-Arms au Shore Patrol ndiyo mkuu wao wa nidhamu..Washamaliza kila kitu hawaja kanusha wala kumkataa tesha kuwa sio mwanajeshi wala kukanusha kuwa tesha hawaja mtuma na wala haja shikiliwa na MP kwa mahojiano zaidi kwahy kicheko kiko mbioni kuja soon tutakuwa na katiba huru elewa kauli yao ya mwisho lina endelea kutimiza majukumj yao ya kikatiba
Hakuna haja ya kufumbia kama kweli unauhakikaMkoa fulani gari zime waka kuelekea mkoa fulani Leo.
😎 Utampea yote eeh au kiduchuTukishakomboa taifa jaman
Na katiba inaruhusu wananchi, tuandamane, ss atokee wa kutukataza, Muliro upo?Dah aisee mbona iko too general? Haya wabongo mshindwe wenyewe, si mmesikia kasema wanafuata Katiba?
Usiharibu hiyo siku, nchi haikombolewi kwa stail yakolucas oct 29 mkyundu wako ni mali yangu nimeshawai mapema asiniingilie mtu
Tesha kaongea mambo mazito sana, ni hekima imesaidia kuyajibu vinginevyo; maji huwa mafuta ukizima moto.Kilicho andikwa kwenye hiyo barua ni kichekesho cha Karne
mjeda Muliro sio?Tarehe 29 ukiona mjeda unampa maji
Are you saying, it's all over !!!?CPt Tesha hajafukuzwa jeshini. Huwezi kufukuzwa au kuachishwa jeshini ukabaki na uniform. Hii ni ujanja kama ujanja mwingine tu. Kama ana akili mama mwambieni akae kando hali ni mbaya mno . Jeshini Kuna mpasuko.
Zingatia: "Hoja hizo zinatolewa na watu waliopo mazingira ya kijeshi"
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika mambo ya siasa.
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati.
Kwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
Pia Soma: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
WAliemwachisha baada ya kuongea jana sio. Wapo wengine wataendeleaHuyo ni Mwanajeshi aliyeachishwa kazi kwa mwenendo mbaya wa kufanya uanaharakati akiwa jeshini.
not yet, mpaka washupaza shingo zikatikeAre you saying, it's all over !!!?
Kama ni wewe kweli. Pungunza comments humu. Kikubwa Soma zaidi comments na uzifanyie kazi. Vitendo ni tofauti saaana na maneno!! Lakini kama si wewe endelea kutu"habarisha".Itakusaidia nini? Kwamba unataka akuaminishe mi nani? Subiri kuelekea 29/10 utajua mi nani.
Wana mtandao bado wanamtia ujasiri kuwa watamlinda dhidi ya hatari yoyote itakayotokea mbeleni..Ni aibu sana kwa Samia kuifikisha nchi huku. Hatukuwahi kufikiria tutafikia kwenye haya mambo ya jeshi. Aibu zao wote wana mtandao. Sasa Bi Mkubwa si aachie kiti tu, kwa nini anatung’ang’ania? Yani hafikirii mpaka tunafika huku ni kwa sababu yake!! Nchi imemshinda jamani. Wenye kuweza kuokoa yanayokuja kulitia doa taifa waokoe, ila tunakokwenda siko.
Wanapaswa kujibu hili swali.Kwanini mnaenda kukimbia mchaka mchaka kama njia ya kutishia watu?
Ntampea yoteee kabisaa😎 Utampea yote eeh au kiduchu