JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

JF member tupeane pole na kufarijiana kwa kuambiana siku yako ilikuwaje

Siku yangu imekua ngumu. niliingia lindo jana usiku, nikategemea kutoka leo asubuhi ila mwenzangu akapata dharula bado nipo lindo na nilikua na miadi shemeji yenu daaah
Wewe leo utakula kwa macho tutakusaidia kazi usijali
 
Leo nmekutana na a very sexy lady wa humu jf her real name inaanziwa na J wow u so sexy u made my day!
 
Nipo getto tu tangu niingie jana. Sipo sawa hata kidogo, katika siku ambazo akili imesimama kufanya kazi ni tangu Ijumaa mpaka sasa.

Mbaya zaidi sioni msaada napata wapi na kwa nani? Hatma yangu siielewi!
Siku huwa zinapita hizo champ

Hata mimi toka last two weeks naona moyo ni mzito sanaa ila bado nipo nipo
 
Back
Top Bottom