Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

Naujua muziki kuliko wewe, na nimeanza kufatilia muziki pengine kipindi wewe hujazaliwa, hao wasanii wenzake walishasema live jamaa anajua kuvaa tu sio muziki, ukitoa enjoy lini jux alitoa wimbo wa taifa?
Kwa kuwa unajua muziki basi tusaidie vigezo vya wimbo kuwa hit song?
 
Uko sahihi mkuu
 
Kuiga iga style za watu,mara afuate ujinga wa Mondi,mara ajifanye mnaijeria anaharibu state zake
Kumbe na wewe umeona hili ee?

Halafu anafanya ujinga uzeeni 😜
Yaani Sasa hivi hashikiki kwa sifa za kijinga.
Ngoja ampoteze.

Na huko Nigeria utadhani yeye ndo wa kwanza kwenda 😝

Cha ajabu Sasa tumetembelewa na wageni wengi lakini huwakuti wakituiga sisi jamani.

Hivi tunaonekanaje huko nje jamani 😅.
 
Wiki Moja tu kama unaishi na mwanamke lazima Kuna red flag zitaonekana
 
Kwa hiyo juma ndio awe rulumodo wetu kweli?unajua biashara ya mama yake Juma unavyomsagia Jacky?unaijuaaaaa?kijana hili jiji achana nalo
Kwanza Jux mwenyewe hamfahamu kiundani, ana chachawa tu hapa.
Atulizane.
 
Nyimbo za zamani za Jux ni nzuri sana Huwa nikizisikiliza naona Kuna akina Jux wawili, wa zamani na huyu wa Sasa wa kuchemsha
 
Mahi usimuambie huyu kijana, Vee toka ajue kuwa Jux ni km yeye, bas akaona aaachie ngazi.
Usisahau na yule T, ambaye alipita na Vee hadi jux mwenyewee.
Alooooh.
 
imagine una sikia mtoto wako ana date na muuza madawa ya kulevya? Demu wake wa kwanza
Jackline Clifford (
Kikwete akiona huu ujinga ulioandika hapa atakuona Ng'ombe wa Hitma kabisa.

Juma na Dada yake ni Punda wa muda mrefu.
 
Watu hawamjui tu Vee Money *****..Vee Money alikuwa mvhta bangi,mchepukaji na aliwahi kuwa lesbian kipindi cha nyuma
Bangi, msaliti. Lesboos, ni kweli.
Ila kilichomfanya Vee amuache Jux ni kushare bwana m1, ile alishindwa kuvumilia kabisa.
 
Yaani akikaa kwenye his lane nyimbo zake ni nzuri sana,zinasikilizika na zina hisia.."Uzuri,Nitasubiri,Nipo salama, na nyingine
Nakazia kabisa. He lost his voice akishadadia amapiano music style...
 
Watu hawamjui tu Vee Money *****..Vee Money alikuwa mvhta bangi,mchepukaji na aliwahi kuwa lesbian kipindi cha nyuma
Sasa wewe ndo umeongea ukweli yule demu kidogo apotee mazima ndo maana aliona muziki kama demonic entity akatema mazima ila alikuwa mchafu kinyama
 
Anaeoa vibibi ni kwa risk zake mwenyewe..hata humu viko bitter sana kwa trauma za pre concious experience zao kutoka kwa ma ex zao
Kabisa, yaani kukimbilia vibibi hasa vyenye vimechezewa ujanani ni ujinga wa kupindukia
 
Bangi, msaliti. Lesboos, ni kweli.
Ila kilichomfanya Vee amuache Jux ni kushare bwana m1, ile alishindwa kuvumilia kabisa.
Malesbo huwa mnatabia za kijinga sana. Sasa jux ajue demu ni lesbo alaf demu ahisi huyo lesbo wake jamaa a natembea naye si atakuwa hana akili?
 
HAKIKA experience is the best teacher
 
Malesbo huwa mnatabia za kijinga sana. Sasa jux ajue demu ni lesbo alaf demu ahisi huyo lesbo wake jamaa a natembea naye si atakuwa hana akili?
Huna unachokijua kumuhusu Jux, unamchoresha tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…