Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Ahsante mkuu, ubarikiwe sana karibu pia kwa mahitaji
 
niliitafuya aana huu uzi ngoja niupitie kiaha niagize kitu kwa all baba
vom
 
kwani unaweza kufanya malipo kwa njia ya simu bila kuwa na akaunti ya benki
 
safi sana nilikua natafuta hiyo njia kulipa ka m pesa master card ya kutengeneza
 
Jamani eeh najaribu kujiunga kwenye mtandao wa e bay ila hapo kwenye post code nashindwa nijaze nini?.
Sina post code nifanyeje ili nikamilishe zoezi la kujisajiri?.
Msaada wakuu wangu wenye uzoefu zaidi.
 
Attachments

  • Screenshot_20220322-131031_eBay.jpg
    22.5 KB · Views: 109
Nina mzigo uko Malaysia mwenye kujua njia nzuri ili ufike Tanzania anisaidie
 
Jamani eeh najaribu kujiunga kwenye mtandao wa e bay ila hapo kwenye post code nashindwa nijaze nini?.
Sina post code nifanyeje ili nikamilishe zoezi la kujisajiri?.
Msaada wakuu wangu wenye uzoefu zaidi.View attachment 2160303
Nenda posta iliyopo eneo ulilopo au ulipofungulia sanduku lako na ukiomba post code za eneo hilo utapata, post code ni muhimu sana ndio zitaelekeza mzigo ufikie wapi
 
Nenda posta iliyopo eneo ulilopo au ulipofungulia sanduku lako na ukiomba post code za eneo hilo utapata, post code ni muhimu sana ndio zitaelekeza mzigo ufikie wapi
TCRA wamerahisisha upataji wa post code
#1. Fungua
Code:
 https://www.tcra.go.tz/postcode
#2. Bofya Tafuta Zaidi

#3. Chagua mkoa wilaya na Kata yako. Utaona Postcode
Jaza 2555
Sio kweli, Acha kupotosha +255 ni Country Code, na sio Post Code, Fuata maelekezo hapo juu ili kujua Post Code sahihi.
kwenye post code nashindwa nijaze nini?.
Angalia Maelezo hapo Juu.
 
Sio siri mwalimu umekua msaada sana,
Big up mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…