Sam pizzo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 846
- 521
Ahsante mkuu, ubarikiwe sana karibu pia kwa mahitajinaomba iwe bahati mzuri uwe mtu mzuri ambaye siyo tapeli. mkuu, ukiwa mwaminifu na jina lako la uaminifu likawa kubwa hapa jf kama lilivyo la MWL.RCT, amini nakwambia utapiga pesa mpaka uzichoke, wanaohitaji kununua bidhaa kenya tuko wengi sana, kenya shipping method yake ni cheap kuliko amazon, ebay na aliexpress