Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

naomba iwe bahati mzuri uwe mtu mzuri ambaye siyo tapeli. mkuu, ukiwa mwaminifu na jina lako la uaminifu likawa kubwa hapa jf kama lilivyo la MWL.RCT, amini nakwambia utapiga pesa mpaka uzichoke, wanaohitaji kununua bidhaa kenya tuko wengi sana, kenya shipping method yake ni cheap kuliko amazon, ebay na aliexpress
Ahsante mkuu, ubarikiwe sana karibu pia kwa mahitaji
 
niliitafuya aana huu uzi ngoja niupitie kiaha niagize kitu kwa all baba
vom
 
kwani unaweza kufanya malipo kwa njia ya simu bila kuwa na akaunti ya benki
 
Sawa unaweza kutumia M-pesa master kadi! Ni salama haina shida! Mm nanunulia sana bidhaa mtandaoni!

Faida yake ni kwamba unaweza kutengeneza kadi ya muda kwenye menue ya m-pesa! Ukahamishia kiasi unachotaka kununua biadhaa online!

Mfano iphone dola mia! Basi unahamishia hicho kiasi kwenye hyo kadi uliyoitengeneza.

Badala ya kutumia master kadi yako ya CRDB ambayo labda itakuwa na pesa nyingi!

Mwisho wa siku ukaibiwa zote! Mpesa master kadi unaitengeneza mwenyewe kwenye menue ya voda!

Halafu wanakutukia no ya kadi ambayo unaweza kutumia kwa manunuzi!

So utahamisha tu pesa kutoka mpesa kawaida kwenda kwenye hyo master card yako ya voda
safi sana nilikua natafuta hiyo njia kulipa ka m pesa master card ya kutengeneza
 
Jamani eeh najaribu kujiunga kwenye mtandao wa e bay ila hapo kwenye post code nashindwa nijaze nini?.
Sina post code nifanyeje ili nikamilishe zoezi la kujisajiri?.
Msaada wakuu wangu wenye uzoefu zaidi.
Screenshot_20220322-131031_eBay.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220322-131031_eBay.jpg
    Screenshot_20220322-131031_eBay.jpg
    22.5 KB · Views: 109
Nina mzigo uko Malaysia mwenye kujua njia nzuri ili ufike Tanzania anisaidie
 
Jamani eeh najaribu kujiunga kwenye mtandao wa e bay ila hapo kwenye post code nashindwa nijaze nini?.
Sina post code nifanyeje ili nikamilishe zoezi la kujisajiri?.
Msaada wakuu wangu wenye uzoefu zaidi.View attachment 2160303
Nenda posta iliyopo eneo ulilopo au ulipofungulia sanduku lako na ukiomba post code za eneo hilo utapata, post code ni muhimu sana ndio zitaelekeza mzigo ufikie wapi
 
Nenda posta iliyopo eneo ulilopo au ulipofungulia sanduku lako na ukiomba post code za eneo hilo utapata, post code ni muhimu sana ndio zitaelekeza mzigo ufikie wapi
TCRA wamerahisisha upataji wa post code
#1. Fungua
Code:
 https://www.tcra.go.tz/postcode
#2. Bofya Tafuta Zaidi
1649559095488.png

#3. Chagua mkoa wilaya na Kata yako. Utaona Postcode
Jaza 2555
Sio kweli, Acha kupotosha +255 ni Country Code, na sio Post Code, Fuata maelekezo hapo juu ili kujua Post Code sahihi.
kwenye post code nashindwa nijaze nini?.
Angalia Maelezo hapo Juu.
 
TCRA wamerahisisha upataji wa post code
#1. Fungua
Code:
 https://www.tcra.go.tz/postcode
#2. Bofya Tafuta Zaidi
View attachment 2182208
#3. Chagua mkoa wilaya na Kata yako. Utaona Postcode

Sio kweli, Acha kupotosha +255 ni Country Code, na sio Post Code, Fuata maelekezo hapo juu ili kujua Post Code sahihi.

Angalia Maelezo hapo Juu.
Sio siri mwalimu umekua msaada sana,
Big up mkuu
 
Back
Top Bottom