Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Mkuu Bulldog nashukuru sana,kwa mfano ebay nataka kununua ki2 je,njia ya ku-ship mzigo je,seler ndio anaangalia njia gani ya kuship au mimi buyer ndio namwambia njia ya kutuma mzigo?...nitoe ushamba mkuu Bulldog

MARA NYINGI PALE KWENYE SHIPPING UTAONA SELLER ANA SPECIFY ATATUMIA NJIA GANI KUSHIP HUO MZIGO. kUNA WENGINE WANATOZA HELA KUBWA HALAFU WANATUMIA HIZI COURIER KUBWA. UKIONA FREE SHIPPING UJUE NI POSTA HIYO.
 
MARA NYINGI PALE KWENYE SHIPPING UTAONA SELLER ANA SPECIFY ATATUMIA NJIA GANI KUSHIP HUO MZIGO. kUNA WENGINE WANATOZA HELA KUBWA HALAFU WANATUMIA HIZI COURIER KUBWA. UKIONA FREE SHIPPING UJUE NI POSTA HIYO.

Ok.kwa hiyo akiweka shiping cost it means ni option ya kumpa njia nayo taka mimi atumie
 
HUU UZI UMENISAIDIA SANA, KWANI NILIKUWA NATAKA KUNUNUA TV eBAY, HAPA IMENIPA MWANGA SANA, HATA HIVYO UKIINGIA ALIBABA ANGALIA HIYO BIDHAA KAMA IPO KWENYE ESCROW AU PAYPAL LKN UKIONA WESTERNUNION HAPO UWE MAKINI KULIPIA
 
Wewe ndo unawasiliana nao.

Asante Bulldog,sasa nimejaza form ya kuruhusu akaunt yangu ya crdb online purchase(internet)lakini kwa eneo nililopo ktk bank wahudumu wageni/hawajawi kufanya huduma hii ilibidi waombe form kutoka tawi jingine kwa fax kisha nikaje .....baada ya kujaza waliniambia baada siku 2 ntaunganishwa naombs kujua hivi baada ya kijaza form ni kitu gani natakiwa kupata ili nijaze kwenye akaunti yangu ya ebay?..
 

Asante ,sasa nimejaza form ya kuruhusu akaunt yangu ya crdb online purchase(internet)lakini kwa eneo nililopo ktk bank wahudumu wageni/hawajawi kufanya huduma hii ilibidi waombe form kutoka tawi jingine kwa fax kisha nikaje .....baada ya kujaza waliniambia baada siku 2 ntaunganishwa naombs kujua hivi baada ya kijaza form ni kitu gani natakiwa kupata ili nijaze kwenye akaunti yangu ya ebay?..
 

Sijakufahamu vizuri.

Ispokuwa kama unataka paypal. Ni simple sana kama Upo na visa card or credit card
Ingia website ya Paypall, register, katika hio paypal ipo sehemu maalumu ya kuweka account yako.

Or other way register paypal, unaweza kufanya transfer moja kwa moja na kuingiza pesa yako ndani ya paypal as account. Sijui kama nitaeleweka, yaani sio lazima uingize au register visa card yako.

Mimi mwenyewe nime register card yangu ya bank katika paypal, nina po fanya payment, paypal wanachukua automatically katika account yangu.
 

Asante miunda....mimi tayari crdb wameniunganisha na on line parchasing sasa shida yangu ni namna ya kununua vitu ebay sehemu ya paypal sioni place ya kuweka akaunt ndio nikahoji au kuna taratibu nyingine inafata baada ya kadi ya kuruhusiwa kununua bidhaa mtandaoni?...ni ilo tu
 

Sikiza kijana Nikwambie, unachotakiwa ili uweze kulipa kwa PayPal kwanza kwa kutumia hiyo ac yako ya crdb ambayo imewezeshwa kununua online uisajili PayPal ingia kwenye website ya PayPal kisha ufanye reg ya account yako
Ukishafanya ukamaliza PayPal wakukata usd 1.95 kama kielelezo kwamba credit card yako inafanya kazi kisha huo muamala Uta generate code ya digit 4 ambozo watu wa kadi benk husika ukiwaomba baada ya siku 2 watakupa piga customer care (sijui lakini crdb nbc ndivyo wanafanya). Hatua ya mwisho ukishapata hiyo code kwenye website ya PayPal ukiwa ume login kwenye account yako gonga mahali palipoandikwa verify account kisha ingiza digit 4ulizo pewa and your good to gooooo!
 

Ni simple kabisa baada ya ku fungua account ya paypal, aende sehemu inaitwa walet - itampeleka katika page ya ku add account.
Click add
Atahitajika kuandika long number ya card yake.
Csc number- security number ipo katika card yake back.
Expires date Imo katika card
Na address or sanduku ya post ulio register bank kama address yako ya account.
 

Attachments

  • 1417714953850.jpg
    56.7 KB · Views: 334
  • 1417714975815.jpg
    20.6 KB · Views: 329
  • 1417714993704.jpg
    8.7 KB · Views: 321
  • 1417715039610.jpg
    28.9 KB · Views: 312

Asante sana mdau ..umenifumbua sasa.be blessed
 

Ukishajaza hyo form inachukua 24 hours hadi kuwa activated, unaenda paypal unajoin na kuweka details za kadi yako. hapo unakuwa umekamilisha kila kitu. Ukiingia ebay unajoin na kujaza ur address na ukinunua kitu paypal ndo wanahusika kukukata hela na kuwalipa hao ulionunua kwao. Ila ukiingia amazon wao wanakata direct kwenye card. ila ni trustworth.

Onyo; Kumbuka kutojiunga kwenye mitandao ya kienyeji na kuweka details za kadi yako, wanajikatia hovyo. so far wa kuwatrust ni amazon tu kuwapa details za kadi yako wengine wote tumia paypal as a medium of payment.
 

Asante Bulldog....be blessed kwa elimu ulitupa hapa jakwaaani.
 

Mkuu nimefanya manunuzi Amazon na kutumia shipping adress hiyo hapo chini, lakini katika kujaza nilisahau tarakimu pale 17146 mimi nikaishia 1714.
 

Attachments

  • 1418890672640.jpg
    37.1 KB · Views: 318
Nikaletewa ujumbe kupitia email yangu kunikumbusha kile kilichokosea ambao ni huu;-
 

Attachments

  • 1418890938729.jpg
    56.1 KB · Views: 302

Attachments

  • 1418891089171.jpg
    82.6 KB · Views: 295
  • 1418891184028.jpg
    55.5 KB · Views: 293
  • 1418891212358.jpg
    34.4 KB · Views: 281
Ninachoomba namna ya ku-update hiyo anwani ya kampuni yangu ya usafirishaji

Maana kwa jinsi nilivyoelewa wale UPS wamesafirisha mzigo mpaka mji huo wa Portland shida wanatafuta mtaa wa 1714 ambao wameshindwa kuupata sasa wakaniomba nifanye masahihisho ya kukagua namba ya mtaa nikagundua nimesahau tarakimu moja pale mwisho ambayo ni 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…