Vidaladala vya Arusha vya hovyo sana lakini pia vinachelewa kujaa sana, sijui kama watawezana na eicher za Daslamu.View attachment 3152531
Hao kwenye picha ni wana-Arusha katika picha ya miaka ya 1990s. Ni mkoa ambao watu wake wana exposure miaka mingi na ni wasafi true, pamoja na kilimanjaro, utalii umechangia pakubwa kwa sababu ya interaction na watu wa mambele huko. Hata video za kwanza za uimbaji Tanzania zenye ubora zilianza kurekodiwa Arusha kwenye studio za Habari Maalumu. So nakubaliana na wewe. Kasoro tu ni vile vidaladala vipanya, vinachafua mji wekeni mabasi ya daladala yenye hadhi sawa na jiji la utalii, watalii wanaogopa kupanda mle.
Vinachelewa kujaa ukiona hivyo mji mdogo watu siyo wengi na uchumi wawatu unatengemea Biashara za maduka.Vidalala vya Arusha vya hovyo sana lakini piwa vinachelewa kujaa sana, sijui kama watawezana na eicher za Daslamu.
Kutoka kikatiti mpk kilombero ni karibu ? Na hapo katikati Kuna vituo vingp ? Na haisimami au inapitiliza directly kama dart ya express?Hiace ya abira 15 ndio usafiri sahihi kama unajali muda, safari inaanza na kuisha faster, kufurahia karandinga la eicher la watu 50 ni ujuha.
kwanini ngaramtoniInategemea uko meru gani isijekuwa Ngaramtoni๐
Ngaramtoni nzuri ni Kishore hadi Olmotonyi.kwanini ngaramtoni
Basi kipindi Cha nyuma nikajua ngaramtoni kwa hovyo......
Nilivyofika pale center.... Nikaingia kama naenda selian ya ngara aseeh Kuna nyumba nzuri..... Magetini tuu mazingira mazuri sana
zunguka mpaka huku shule ya SOS nilikupenda ngaramtoni
Sema Kuna vumbi kipindi Cha kiangazi so poa....
Of course imepewe tuu maua yake aseeh ๐ Ila Arusha Pako vizuri aseehNgaramtoni nzuri ni Kishore hadi Olmotonyi.
Huko watu wameshusha mijengo ya hatari
Yes, Arusha ina mandhari nzuri hasa chini ya mlima Meru.Of course imepewe tuu maua yake aseeh ๐ Ila Arusha Pako vizuri aseeh
hasa ukianzia hapo usa river kuko vizuriYes, Arusha ina mandhari nzuri hasa chini ya mlima Meru.
Ninamaanisha ukitokea Moshi...kuanzia Usariver upande wa juu, yaani uelekeo wa shina la mlima Meru.
Huko juu kuna view nzuri, kijani, uoto wa asili, na vilima vinavyovutia sana.
Wajinga hawataelewa
Kuna coaster nyingi sana za mjini kikatiti mkuu sasa hiv abiria wengi wanaopt coaster lakin bado kunaviambaza vya rushwa katika nchi yetu Laura walishapiga marufuki hiace kwa arusha na mwanzo tangu 2016 lakn wenye magari madogo viace wanahonga ili waongezewe muda ambavoni usumbufu kwa wasafirKutoka kikatiti mpk kilombero ni karibu ? Na hapo katikati Kuna vituo vingp ? Na haisimami au inapitiliza directly kama dart ya express?
Arusha kuzuri hasa mji upo mlimani plus baridii lake, view ya mount Meru,
Lakini jiji lile usafiri ubadilishwe ziwe coaster kama Dsm maake Arusha jiji kubwa na my dream home hapo badae...
Oooh kwa hadhi ya Arusha waekewe hata mwendokasi...... Au coaster ziingie mzigoni vile vipanya vistaafu sasa,, maake ule mji una ukubwa wake tuwe tuu wakweli.....Kuna coaster nyingi sana za mjini kikatiti mkuu sasa hiv abiria wengi wanaopt coaster lakin bado kunaviambaza vya rushwa katika nchi yetu Laura walishapiga marufuki hiace kwa arusha na mwanzo tangu 2016 lakn wenye magari madogo viace wanahonga ili waongezewe muda ambavoni usumbufu kwa wasafir
Hajakitana na wadudu huyu.Sio kweli,
Ok, tukichape kimeru sasa...kwasindiswa mbee๐๐Mkuu sijakupinga kama hawajipendi, lahasha wanajipenda sana na nipo huku Meru yapata miaka 9 sasa nauzoefu na ninachokwambia kwa baadhi ya maeneo, mwenyewe natupia pamba fresh kabisa na unyunyu juu๐
Sio hivyo, wanasalimia "kwasindiso" hii ni salamu ya mchana ๐Ok, tukichape kimeru sasa...kwasindiswa mbee๐๐
Kwahyo baridi ndio hali ya hewa nzuriArusha is overrated..
Watu wa huko hata baridi wanahisi kwa TZ nzima ndio panaongoza.