Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Weka projections za NBS sio hizo source za ajabu ajabu
 
Naam! Umemaliza Mkuu. Naomba nikuhost next time
 
Soma hapo nilipo bord
Mwanza. Mwanza has launched its regional investment guide as it puts itself on the right path to grow its contribution to Tanzania’s gross domestic product (GDP) by the year 2025...
weka source ya taarifa kutoka NBS sio hadithi za kufikirika
 
Safi sana Comrade Uko Sahihi
 
Nimewaambia hao jamaa ukitoa Dar na Pwani jiji lingine la viwanda ni Arusha wengine wanabahatisha bahatisha
 
Unasimulia hadithi lakini facts zinakueleza kitu kingine,weka facts mkuu kama idadi ya viwanda,mchango wa kimapato TRA nk nk
 
Jiji la mwanza lina watu million 2+
Jiji la Arusha lina watu laki 5+
Alafu kuna mpuuzi mmoja anakuja kusema Arusha ni bora kuliko Mwanza
Idadi ya watu si kipimo sahihi kujua ubora wa maisha,Sweden yenye watu wachache ina maisha bora kuliko china yenye utitiri wa watu,ila ni ukweli usiopingika kuwa mwanza kiuchumi iko juu sana ya arusha.
 
Big but irrelevant. Media gani ina broadcast news za juzi badala ya leo? Sahara media group ya zamani ikoap? Kiss FM ikoap? Radio Free Africa ikoap?

Who is watching Star TV to be honest?

Mwanza airport sio International airport, ni airstrip. This at least am quite sure. Ni majuzi tu kwa mara ya kwanza Rwanda Air iliruka from Mwanza to Brussels kwasababu tu ya Samaki. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…