Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Mkuu weka usukuma pembeni kwani unaandika kwa mihemko ya kisukuma.
 
ROCK CITY MALL View attachment 1495123
View attachment 1495124
View attachment 1495126
View attachment 1495127View attachment 1495128

Navyowajua wasukuma hawawezi wakaacha mall ya billion 49 wakaenda kuangalia mall ya billion 7 Arusha
Ha

Hatimaye swai kawa msukuma rasmi,
ROCK CITY MALL View attachment 1495123
View attachment 1495124
View attachment 1495126
View attachment 1495127View attachment 1495128

Navyowajua wasukuma hawawezi wakaacha mall ya billion 49 wakaenda kuangalia mall ya billion 7 Arusha
Hatimaye swai auza ukoo kwa wasukuma,k ni mbaya sana kwa kweli😛😛😛😛😛..basi mkuu mwanza mumeshinda mko juu
Inashangaza kuona second biggest city iko poor kiasi hicho..Mombasa angalau ni nusu ya Nairobi lakini mwanza ndo kwaanza inashindana na akina Arusha na Dom
 
Huyo jamaa hupinga kila kitu cha kanda ya ziwa. Alishawahi kusema jiji la mbeya ni zaidi ya jiji la Mwanza
 
niwape ushauri watu wa Arusha, embu jipangeni na MABODABODA yenu katikati ya mji, yaani ni vurugu tupu, usiku kelele za bodaboda mpaka unasema hivi mtalii akilala hoteli zenu hapo mjini kati, atarudi tena kweli !! mwanza nilifika zamani ila nahisi mwanza ipo juu.
 
Wavuta ganja wataendelea kubisha tu..
 
In fact, Arusha imebebwa na serikali..
Zisingekuwa huruma za serikali kujenga kwa ajili, Arusha ingekuwa hoi taaban...
Tofauti na Mwanza, maendeleo ya Mwanza ni makubwa na ni nguvu za wananchi.
Isingekuwa serikali kuwekeza Arusha sababu ya utalii, Arusha ingezidiwa na Kahama
 
Arusha imebebwa na serikali. Mwanza ni jitihada za wananchi kukuza mji...
Mwonekano na maendeleo ya Mwanza ni nguvu za wananchi zaidi wakati Arusha ni uwekezaji wa serikali kuvutia watalii...
In short, isingekuwa serikali kuwekeza Arusha, Arusha ingezidiwa na Kahama...
 
Mount Meru ya Singida unajua imejengwa mwaka gani?
Yaza ya singida unajua imejengwa mwaka gani?
Kwa taarifa yako Mount Meru Millers inaongoza Afrika ta Mashariki kwa ukamuaji wa mafuta ya mbegu ilianza miaka zaidi ya 20 ilyopita na ina viwanda Arusha, Shinyanga,Kahama,Igunga na cha Singida ambacho kilizinduliwa 2018 (kiliwahi fungiwa 2017 kwa kutiririsha maji taka kwenye makazi ya watu)-
 
Mwanza -> ziwa Victoria, madini kidogo.

Arusha -> Utalii, Madini, Viwanda, kilimo cha kahawa na Maua yanayokuwa exported
Yani we ndo bure kabisa,muwe mnatembea na si kutembea kwa maana ya kupanda tu chombo cha usafiri unafika unasalimia ndugu na kurudi, tembea fanya kazi huko,kutana na watu tofauti na maeneo tofauti..ukifanya hivyo utakuja kugundua kua MWANZA ni the best hapa East Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…