🤣🤣Naona mna peana likes tu Na mapank hapo
Zwazwa wawili wa ziwani mnatiana ujinga🤣🤣
Haya bhana
Ila mapank anaelewa chuga kulivo Na Bata ziwani harudi Tena huyu hata hapo mrina tu alipo hiyo mitaa Mwanza nzima hamna ils shida yeye anachagua ile cheapest ndio anaenda Bora angeenda hata xo au picnic
Sasa kitombile ndio haelewi kitu maskini anaishia tu kusapoti hapa😥
BiɔNa wanaofaidika ni matajiri wachache wanaoweza kumudu kwenye ushindani
Wavuvi wengi Mwanza ni wadogo Sana wenye kujikimu tu
Economy ya mwanza haija spread
Kwa kijana wa kawaida kutoboa kama huna connection ni kama haiwezekani
Kutoboa kupitia hiyo mitumbwi ni haiwezekani
Zao la pamba ni kama limekufa
Michongo mwanza ni migumu
Ni vile tu covid lakini arusha ungeweza kujichomeka kwenye utour guide
Ukaenda mererani
Unajiungaunga kwenye business unaweza ukatoboa ila mwanza uchumi mgumu sana
🤣🤣Hujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili
Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
Napapenda sana mkuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mkuu Arusha naenda kila mwaka kwa ajili ya TAHA na maparachichi
Mwanza nimeishi miaka 2 na naenda kwenye vocation mara moja moja kuna ndugu yangu wa damu anaishi huko.
Karibu Sana Njombe na Mbeya na Rukwa ni mkuu hotojuta
🤣🤣🤣 Naona leo umewaamulia watoto wa iliyokuwa kanda pendwaYaani hotel hapo ni hiyo nssf tuu hivyo vingine ni bar
Arusha maziwa madogo yana hoteli kali za ufukwe wa kutengeneza,afu mambo ya hotel Acha utaiaibisha Mwanza
Mwanza watu hawana pesa hoteli ujenge ataingia nani Mzee
🤣🤣 Hao ndugu zangu wa ziwani hawawezi kuelewaNimemwambia kwamba mitaa kama busweru ni mingi Sana Arusha tena kali kuliko huo upuuzi hapo.
Afu watu wanaonesha picha za mjini Kati as if Arusha ni mjini Kati tuu wakati ina outskirts za kutosha.
Huwa na enjoy kweli nikiwa napita Dodoma road yaani utamu wa Chuga unaanza kuonekana pale Njia panda ya Monduli kwenye makota ya JWTZ unapita kisongo kote safi japo sio mipaka ya Jiji,the same ukitokea Kia to Chuga ,,barabara nzuri mandhari nzuri watu wako busy yaani kama Nairobi hivi
🤣🤣Porojo tuu unaleta,weka picha tuone
Barabara gani za maana inazo Mwanza? Kuwa nyingi ni sababu ya kuwa na mitaa mingi ila quality hata wewe unajua
Kama ni airport hiyo KIA ina serve zaidi Arusha kuliko huko Kilanjaro sasa ukichanganya na ile Arusha airport nadhani unajua wapi kuko busy.
Huko Mwanza kumepoa kwa sababu Mji umejaa maskini hakuna misheni town za kufanya na si kusingizia utalii.Yaani hata Mbeya iko busy kuliko Mwanza.
Vyuo na malls hicho kijiji kikubwa cha Mwanza hakiwezi kusogeza pua kwa Arusha,ndio maana hata kale ka mall kamoja kako empty,wasukuma na mall wapi na wapi.
Ukija kwenye majengo ya ghorofa na muonekano wa Mji,Arusha inapendeza kwa sababu ina majengo marefu mengi na kila siku yanajengwa ukilinganisha na Mwanza,ina kajengo karefu kamoja na many dwarf ugly buildings
Kiufupi Mwanza inaizidi Arusha wingi wa maskini mjini na ushamba tuu
🤣🤣 Hao ndugu zangu wa ziwani hawawezi kuelewa
Wanajisahaulisha arusha City is the wealthiest City in tz
Alafu wao ni mkoa maskini afrika😎
Hata ukiangalia google maps mji umepauka
Nimewawekea video ya ulaya ya tz waoshe macho kidogo
View attachment 1763883
View attachment 1763885
Ndio sehemu inayoongoza kwa umaskini mkuu🤣🤣Mwanza bab kubwa sana,,, bila shaka ukitoka dsm jiji linalofuata kwa ukubwa na maendeleo ni mwanza
Arusha is nothing!
Bila utalii Arusha haina chochote
Maana utalii ndo umefanya kuwe na hotel kubwa Arusha na wazungu kupenda kukaa huko kutokana na hali ya hewa ya ubaridi ila tofauti na hapo is nothing. Nakumbuka kipindi Cha corona Kuna watu waliishi maisha magumu sana hasa wale waliokuwa waongoza watalii pale ngorongoro nilikuwa naona huruma kuwaona wamejichokea vby hawakujua wafanye Nini tofauti na kazi walozoea
Ila kwa upande wa mwanza Kuna fulsa nying sana za kibiashara ambapo watu hawapati shida endapo itatokea ishu inayoadhiri uchumi wa mtu mmoja mmoja maana fursa ni nyingi za kutengeneza pesa
Conclusion: Kama wewe ni mtalii,mvuta bange,au mmasai basi Arusha ni
Sehem sahihi kwako ila Kama wewe ni mtafutaji basi mwanza ni sehemu sahihi
Uchambuzi bora kabisa ambao unapaswa ufungie mjadala. Lakini sababu ya vichwa vigumu vya watu wa Arusha, bado wanakuwa ving'ang'anizi ktk hoja mujarabu kama yako.Mwanza ni mji mkubwa mno kuucompare na Arusha, zote zina manispaa mbili japo Arusha bado hata manispaa yake ya pili haijafikia hadhi kamili,
Mwanza unaonekana kama mji uliopooza kwa sababu ya kutokuwa na shughuli nyingi za utalii kama Arusha hivyo ukiwa mwanza usitegemee sana kupata huduma nyingi za starehe kama mahoteli ya kitalii, clubs, biashara ya vinyago na pombe,tour companies,kumbi kubwa za mikutano, na makao ya jumuiya mbalimbali.
Ila tofauti na hili la utalii ambalo Arusha inaongoza baada ya kuhodhi biashara ya utalii kutoka katika mikoa jirani mfano sehemu kubwa ya mbuga ya Serengeti ipo Mara lakini Mara haitambuliki wala haifaidiki, sawa na mapato na faida za kitalii za hifadhi ya mlima Kilimanjaro n.k
Hakuna kingine Arusha kama jiji unaweza kulicompare na Mwanza jiji ukianzia ukubwa wa mji yaani idadi ya makazi na watu, viwanda, shughuli mbalimbali za uchumi na biashara.
ubora wa makazi huwezi kukuta mwanza mjini mitaa kama ungalimited, sinoni, sombetini, matejoo nakadhalika ambapo kuna nyumba nyingi duni ambazo ni mchanganyiko wa mabanda ya tope, miti na mabati wanaishimo binadamu na ukiingia deep uswahilini ng'ombe wana mazizi mjini,
gharama za maisha mwanza ziko chini ukikompare na Arusha chumba cha tope uswahilini ni elfu 15 mpaka 30 hii kwa mwanza utakuwa kwenye chumba safi kabisa anachopaswa kuishi mwanadamu, achilia mbali hupatikanaji wa vyakula na huduma za msingi mtaani.
Posh areas (mitaa ya kidosi) hapa Arusha inaongoza ukilinganisha na Mwanza, hivyo gap la kipato katika mji wa Arusha ni kubwa kati ya masikini na tajiri ukilinganisha na Mwanza.
Miundombinu na msingi bado mwanza inaongoza katika hili, kwa maana ya stendi bora za magari, mtandao wa barabara za mitaani, urahisi wa usafiri mfano uwepo wa costa nyingi, hiace na tax unlike Arusha ni hiace tu ndo nyingi wakati mwingine pia nauli hazitabiriki hasa jioni na ukiwa mjini lazima uzitafute zilipojirundika kama zizini kule kilombero stendi ya vumbi na ukiwa mgeni ni changamoto kubwa.
Mwanza ina hospitali kubwa ya rufaa ya bugando, kiwanja kikubwa cha ndege siyo airstrip, chuo kikuu kikubwa cha SAUT, Mall kubwa tz, usambazaji mkubwa wa huduma ya maji safi mjini, usafiri wa majini na biashara ya minofu ya samaki nje ya nchi, masoko mazuri n.k
City center(CBD) kati ya mwanza na Arusha kiufupi Arusha inachapwa mbali katika wingi wa idadi ya majengo ya ghorofa na coverage, shughuli za kibiashara na wingi wa watu, mpangilio wa CBD kwa mwanza tiyari unaelekea pazuri uwezi kukuta mrundikano wa huduma zote sehemu moja kama vile kijijini yaani hapohapo stendi ya mabasi ya mikoani pembeni kiwanja cha mpira, stendi kuu ya daladala ya vumbi, huku soko kuu hatua kidogo soko bovu la mitumba, mara makaburi yasiyojengewa wala kuwa na uzio nayo yapo city center,achilia mbali mrundikano wa guest bubu n.k
Mandhari, kiufupi katika hili kila jiji hapa lina sifa yake nzuri tofauti na lingine, Arusha ni mlima meru, hali ya kijani kibichi, majengo marefu kadhaa mazuri, mitaa kadhaa yenye mpangilio mzuri na magheto makali/yakifahari mfano njiro. Mwanza ni ile hali ya milima na nyumba juu ya miamba, ziwa Victoria,rock city mall, hifadhi ya kisiwa cha sanane, muonekano wa jiji nyakati za usiku hasa ukiwa sehemu za mlimani au ghorofani,kijani kibichi na hali ya hewa nzuri kwa mwaka mzima hakuna joto kali sana au vumbi la poda kama Arusha.
Future ya hapo baadae kwa miji hii itakavyokuwa bado ni kitendawili kwa Arusha kuipiku Mwanza kwa hizi major project zinazoendelea ikiwemo kufufua na kuimarisha miundombinu ya usafirishaji wa mizigo na watu ziwa Victoria hasa na Uganda pia kenya, daraja la busisi, soko la kisasa,stendi bora za kisasa, kiwanja cha kimataifa cha ndege, SGR, kuimarika kwa masoko na pato la biashara ya dhahabu, kuletwa kwa ndege za kusafirisha mizigo especially kwa ajili ya minofu ya samaki, kutambuliwa kwa kisesa kama mji na manispaa ndani ya jiji la mwanza, uwepo wa mpango wa kuwa na BRT achilia mbali ongezeko kubwa la idadi ya watu au birth rate kanda ya ziwa ukilinganisha na kaskazini n.k labda mji utakaompa mwanza challenge mbeleni ni Dodoma pekee na siyo Arusha.
Mkuu leo unanitenga hivi baada ya kuikataa hiyo Manispaa ya Arusha? Tulikua wote wakati naitetea Njombe dhidi ya Kahama leo unanikana?Mbalizi huko ndio sawa na mitaa ya kwenu Mwanza ,,usiifananishe mitaa ja Chuga na hivyo vimagulio vya machinga
Sawa, hizo kilometa ni 18 tu, zinaanzia kule Ngaramtoni na kuishia Mbele kidogo ya Kimandolu kabla ya User river, sioni hata cha ajabu hapo. Ni barabara moja tu ndani ya Arusha ambayo ni Dual Carriageway, ambapo Mwanza ipo ingawa ni fupi kwa sababu ya jiografia. Busisi ikiisha mutatandikwa sana na Mwanza, Arusha hakuna hata stendi. Ni matatizo matupuHujui unachoongea ,mradi wa dual carriage sio huo wa TSCP bali huu ni mradi wa benki ya Dunia utaijenga hiyo barabara hadi mpaka wa holili
Barabara ya dizaini hii Mwanza mtaipata 2100
Mkuu hujanisoma vizuri,Arusha sijawahi ikataa maana kwanza inafanana mandhari ya NjombeMkuu leo unanitenga hivi baada ya kuikataa hiyo Manispaa ya Arusha? Tulikua wote wakati naitetea Njombe dhidi ya Kahama leo unanikana?
Mimi hua ni msema kweli tu, Arusha haiwezi kuifikia Mwanza asilani, kama ambavyo nilipinga Makambako kwa Njombe mjini.
Sio tuu fupi bali ni mbaya piaSawa, hizo kilometa ni 18 tu, zinaanzia kule Ngaramtoni na kuishia Mbele kidogo ya Kimandolu kabla ya User river, sioni hata cha ajabu hapo. Ni barabara moja tu ndani ya Arusha ambayo ni Dual Carriageway, ambapo Mwanza ipo ingawa ni fupi kwa sababu ya jiografia. Busisi ikiisha mutatandikwa sana na Mwanza, Arusha hakuna hata stendi. Ni matatizo matupu
Ndio sehemu inayoongoza kwa umaskini mkuu🤣🤣
Nila shaka hufahamu maana ya maendeleo
Yani kile kibaraza chini ya kivuko cha furahisha ndo wanaita dual carriage way🤣🤣🤣Sio tuu fupi bali ni mbaya pia
Miji ya kibongo hii km 18 sio mchezo mchezo
Arusha migomba ni mingi kuliko watu, nipo hapa Mrina na watoto wa Kimeru tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Yani kile kibaraza chini ya kivuko cha furahisha ndo wanaita dual carriage way[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watu kuna namna akili yao iko na wadudu