Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Hapa ni ARUSHA au USA ?[emoji15] [emoji15]

Hata hali ya hewa ni bomba, na hiyo green ndio daah!!!
 
Hebu acheni kufananisha Mwanza na mambo ya kijinga bana
 
Eti leo hii mwehu mmoja alievimbilwa maharage anakuja kushindanisha RockCity na Chuga!!!

Pande zote ni kwangu ni maskani!
Chuga wanaishi wehu na malaika wa shetani ila Rockcity kutaendelea kuwa na waungwana watu wenye roho za utu!!!
 
Lemi ongala alitoa jibu. Arusha ni wakina Hidaya tu wa Pepe kale.
 
Getegete nahenne mayuuu,lishindo lya ng"waso,ole nchiro chiro mabolo gawiza nyanookooo.
 
Mwanza tomanookooooooooooo,lishindo lya ngwasooooooo.
 
Acha kuifananisha Arusha na vitu vya kijinga
Hahahaa
Mimi hapa nchi sijafika Sumbawanga pekee tu, kwa hiyo usinishawishi kwamba ARUSHA kuna barabara, kwa kifupi mimi ni Afisa Mipango miji.Ramani za miji tunayo.
Dar vipi imejitosheleza eeh!! Huko posta vile vichochoro Afisa ulishavijengea flyovers au subways vipi huko kariakoo barabara ni pana eeh??

Barabara Dar ni old bagamoyo na pugu tu.
 
Mwanza is the best jamani arusha hakuna kitu kimiundombinu mwanza is the best kiutafutaji mwanza is the best haya wale mnaopenda anasa mwanza is the best sema arusha totoz za kimburu zile ebwana hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…