Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tusipangiane Maisha ....then peleka upumbavu wako uko kama unapendwa kudanganywa ni wewe sio Kila mtu..nishakuambia tupo jf Kwa sabb mbalimbal.. idiot kabisa
Huna sababu yoyote unatafuta attention tu.
Ukianzisha uzi wako unabuma unaamua kupitia nyota za wanaume kama hivi.
 
Mkuu INSIDER MAN kwa experience kuandika yote inachosha na utajikuta baadhi ya episodes unalipua unless ingekuwa kazi yako angalau Hilo lingekumotivate. Fanya angalau 4 episodes kwa wiki ambapo hii itakupa muda wa kufanya mambo yako mengine ya muhimu zaidi lakini pia engagement positive itakumotivate kuendelea kuandika.

Asante sana kwa kuamua kuendelea kusimulia hii story
 
Ukisema anadanganya maana yake ukweli wewe unaufahamu sindio? Mlikua pamoja na jamaa katika harakati zake? Hebu nisahihishe kama nakosea.
 
Hebu tuzingatie Hili

Medecin , fungua hii link ya jamaa hapa bonyeza button tatu za juu then IGNORE, hakuna mahala utaona comment zake, unajua tatizo la akili lipo na dawa yake haipo. Hapo ndipo shida ilipo,

Asitokee mtu kumjibu, hili litaisha, uzi wa kula tunda kimasihara uliishi muda mrefu sababu tuliamua kupuuza wapuuzi wanaojidai wao ni wajuaji zaidi
 
Unaona tabia chafu unatuletea mpaka hapa kwenye story, nilijua wewe mdada kumbe bwabwa. Wanaume hawana hizo.
Critical thinker man ndo walivyo huwaingizi kingi kizembe, sio we shoga sijui malaya unafurahia story za kutunga ili tu usome jinsi sijui prisca akiwa anawekwa nawe upate starter ya kutafuta basha
 
Kichwa yako laini saana, kama ulisoma vzr alisema $10,000 alimtajia mteja kisa hataki kumpa huduma! Akasema ni mbinu wanayoitumia kuwakataa baadhi ya wateja.

Pia ni asset sio assert.
Tatizo exposure, njie mkiwa na access ya kukopa ni gari. Ndo Maana nashangaa mtu anaingiza hela hana gari.
 
Idiot
 
Dah endelea buana
 
Leta zako ambazo sio chai acha kudandia za watu.
 
Hii story ukiisoma vizuri mwanzoni kabisaa ina motivate kwenye kupambana na kupigania ndoto zako ila hapa ilipofika mwamba amejitafuta amejipata haswaa so kwasie wasakatonge wenzake Kuna kawivu kanaingia (ni kawaida) huu wivu wa mafanikio unakipimo chake, ukiwa ni wivu wa kawaida basi utakumotivate, ukiwa ni wivu wa kupitiliza hapa inatengeneza chuki na hasira za kwanini, kitu ambacho tunapaswa kujua huwa Kuna kipimo cha wivu, kamwe tusiruhusu wivu wa kupitiliza ututawale.
 
We hayo matukio halisi sindiyo
Uyalate sasa kiazi ww... kanuni ni moja tu ukiona mtu anasema uongo na ukwel unaujua unaelezea hali halisi
 
Mnaokuja pm kuniomba nilegeze msimamo wangu sitaki, nimeamua kwa hiari yangu kuwatetea walaji kwa hiyo sishauriki katika hilo, lengo ni kuiona jf yenye maudhui ya kweli na maana sio kunyweshana chai ya moto na joto hili.
Kiazi
 
Ndani ya wiki episode 3
 
INSIDER MAN
wapuuzi wa5 wasifanye watu 10,000 wakose uhondo!

Asante kwa kuamua kuimalizia story, andika yote uitupie episodes zote.

Ukikwama bando twaweza changia.
Hao wanaosema chai walete mandazi, waandike zao.
 
N
Ndugu Hassan nusu na robo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…