Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

Hii inatufunza kuwa wa kweli na si mavisasi yasiokuwa na tija kwa Taifa..
Live longer Mzee Mwinyi..
 
Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.

Baada ya hapo, akaelekeza nguvu zake LOLIONDO.......

Na Marehemu Katablao....
 
kama ilikuwa habari kubwa imeandikwa sehemu na itapatikana
 
Kama kweli mwinyi alijiuzulu 1977 hii habari si kweli kama uonavyo orodha hii ya baraza la mawaziri baada ya ccm kuundwa 1977,waziri alikua Moyo sio Abdallah Natepe
--The inauguration of CCM to replace TANU
and ASP has been followed by a number of
new appointments and a cabinet reshuffle.
The Cabinet on February 14th includes:
Prime Minister: Edward Sokoine
Foreign: Ben Mkapa
Defence: Rashidi Kawawa
Finance: Edwin Mtei
Works: Alfred Tandau
Natural Resources: Solomon Ole Saibul
Labour: Crispin Tungaraza
Agriculture: John Malecela
Lands: Tabitha Siwale
Education: Nicholas Kuhanga
Justice: Julie Manning
Information and Broadcasting: Isaac Sepetu
National Culture and Youth: Mirisho
Sarakikya
Communications: Amir Jamal
Commerce: Alphonse Rulegura
Home Affairs: Nassor Moyo
Capital Development: Hasnu Makame
Health: Leader Stirling
Water: Al-Noor Kassum
Industries: Cleopa Msuya
Civil Service: Abel Mwenga
Pius Msekwa was appointed Executive
Secretary General of the CCM. His deputies
are Salmini Amur [Amour] from Zanzibar,
and Col. Simba Ibrahim Kaduna, the former
Foreign Minister replaced Msekwa as Vice
Chancellor at the University. Other
 
Mtoto wako akisoma historia ya TAA akaja kukusimulia naye anakuwa tayari mhenga?
Waambie hao hawajielewi ndio maana kila siku kuishangilia CCM waambie wasome vitabu labda akili zitakaa vizur
 
Story nzuri kwa viongozi wetu wajifunze kutolipa kisasi
 
Mambo ya kuteua wanajeshi nadhani yamekuja kwa kasi miaka ya hivi karibuni.

Zama za JKN, Mwinyi na Mkapa ilikuwa uwezi teuliwa serikarini kuchukua nafasi ya siasa mpaka uache jeshi na ninauhakika Natepe alistaafu jeshi Kama sio kipindi cha Mkapa basi awamu ya pili ya Mwinyi na hakuwahi kuwa waziri alipostaafu zaidi ya kufanya kazi za CCM.
 
Ukiongalia hii cabinet utaona mseto wa makabila na imani za Watanzania. Sio huyu tuliyekuwa nae, Cabinet na manaibu wake, na teule zake zote za kabila au kanda moja.
 
Mbona wakina luteni kanali jk(waziri wa nishati) na kanali kinana(waziri wa ulinzi) walistaafu jeshini wakati tayari ni mawaziri..
 
Mbona wakina luteni kanali jk(waziri wa nishati) na kanali kinana(waziri wa ulinzi) walistaafu jeshini wakati tayari ni mawaziri..
Ukiwa mwanajeshi hata unapostaafu unabaki na cheo chako.

Lakini wote hao hadi kushika nafasi hizo lazima watakuwa walibwaga majukumu yao ya kijeshi, vinginevyo wasingeteuliwa.
 
Tulio soma Bunge tulisoma na Watoto wa kamanda Natepe
 
Ukiwa mwanajeshi hata unapostaafu unabaki na cheo chako.

Lakini wote hao hadi kushika nafasi hizo lazima watakuwa walibwaga majukumu yao ya kijeshi, vinginevyo wasingeteuliwa.
Jakaya na kinana wamestaafu jeshini mwaka 1992

Jakaya kawa waziri toka 1988.
 
Hekima hii nimeipenda bila kupepesa macho. Tunayo mengi ya kujifunza.
 
Jakaya na kinana wamestaafu jeshini mwaka 1992

Jakaya kawa waziri toka 1988.
Ni hivi ukiingia tu kwenye chama lazima uache kazi ya jeshi utabaki tu unaitwa kwa title lakini kambini tena uendi kama mwanajeshi na majukumu ya kijeshi wanakuvua.

Mie Natepe watoto wake wa rika langu ndio vijana niliokuwa nao mtaani na nilikuwa naingia mpaka nyumbani kwake na najua kuna fursa kibao zilimpita kwa sababu akutaka kuacha jeshi mpaka umri wa kustaafu ulipofika na alipo staafu ndio alianza kufanya kazi za chama.

Isitoshe mie mwenyewe baba yangu alikuwa mwanajeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…