Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
🤔Eeka mangi[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔Eeka mangi[emoji1]
We nae ni mjinga 🤣 unaogopa kifo?Haya mathreads ya kijinga sana, kuna dini kila kukicha wanaongelea maiti mara kufa mara kuzikana.
Maisha ni mafupi, furahia kipindi ambacho upo hai.
Kila mtu atakufa lakini isiwe kigezo cha kukumbushana kila siku.
Uzi wa kijinga
Aliye sana.Da! ngachoka choki!
[emoji22][emoji2089]
UKIMALIZA HAPO UNAENDA KUMZIKA KWENYE UDONGO NA KULIWA NA FUNZA.Namna ya kumuosha maiti hatua kwa hatua
1.Kuoshwa (Kukoshwa).
Mazingatio kabla ya kuosha maiti.
(a)Maiti ya kiume ioshwe na wanaume na maiti ya kike ioshwe na wanawake pia.
- Maiti ya mtoto yaweza kuoshwa na yeyote.
- Ni Sunnah mke kumuosha mumewe na mume kumuosha mkewe pia
(b)Ni mtu mmoja tu ndiye anayeosha na mwingine ni kwa ajili ya kumpa msaada inapobidi.
(c)Ni muhimu muoshaji afahamu masharti ya kuosha maiti muislamu kama vile;
1. Muoshaji awe muislamu.
2. Mahali pakuoshea pawe faragha (pamesitirika).
3. Maiti aoshwe huku amefunikwa gubi-gubi na nguo nyepesi inayoruhusu maji kupenya kwa urahisi.
4. Ni vyema muoshaji asiishike maiti bali aoshe akiwa amevaa ‘gloves’.
5. Kuzingatia masharti ya mwenye kuoga josho la wajibu; kama vile kuwa na maji mengi na safi, pasiwe na kizuizi cha maji kupenya, n.k.
(d)Ni muhimu muoshaji afahamu nguzo na sunnah za kuosha maiti kama ifuatavyo;
- Nguzo za kuosha maiti ni mbili:
1. Nia
2. Kueneza maji mwili mzima wa maiti.
- Ni Sunnah kumuosha maiti mara tatu au zaidi kwa idadi ya witiri.
Namna ya Kuosha Maiti hatua kwa hatua.
i.Maiti awekwe juu ya kitanda chenye tobo katikati ili kupitisha uchafu unaotoka tumboni.
ii.Pawepo na shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda, kama hakuna uwekano chombo kiwepo cha kukingia uchafu unaotoka kwa maiti.
- Pia maiti inaweza kuoshewa bafuni au kwenye karo liliotengenezwa
kwa kazi hiyo.
iii.Maiti afunikwe na nguo moja kubwa yenye kupenyeza maji wakati wa kuosha.
iv.Maiti akalishwe juu ya kitanda usawa wa tobo na shimo (ufuo) na ainamishwe nyuma kidogo, kama ni mzito ni vizuri msaidizi wa muoshaji amuegemeze kwenye magoti yake.
v.Muoshaji apitishe mkono wa kushoto kwenye tumbo la maiti na kuliminyaminya taratibu ili kutoa uchafu ndani.
vi.Amlaze chali na kuminyaminya tumbo lake kama ilivyo mara ya kwanza.
vii.Aikalishe tena na apitishe mkono wa kushoto chini akiwa amevaa kitambaa au gloves na kusafisha tupu mbili kwa maji safi.
- Kama hapaja takata, basi na avae gloves safi na ile chafu aitupe kwenye
ufuo na asafishe tena kama mara ya kwanza mpaka patakate.
viii.Baada ya hapo, muoshaji afunge kitambaa safi kwenye kidole chake shahada na akichovye kwenye maji na kumswakisha maiti meno yote na kisha akitupe ufuoni.
ix.Muoshaji azungushe kitambaa kingine safi kidole chake kidogo mkono wa kushoto na kumsafisha nacho maiti tundu za pua kisha akitupe ufuoni.
x.Asafishe kucha za maiti kwa kijiti safi na laini iwapo ni ndefu na chafu.
xi.Kisha amkalishe maiti na amtawadhishe kwa kufuata taratibu za kawaida za kutia udhu (kutawadha).
xii.Maiti akiwa amekalishwa, ataanza kumuoshwa kichwa akiwa ameinamishwa mbele kidogo.
- Kama nywele au ndevu ni nyingi zichanwe na kuoshwa kwa sabuni na
maji mpaka zitakate.
- Mwanamke mwenye nywele nyingi zisukwe mikia, na zilizong’oka
ziambatanishwe na sanda.
xiii.Baada ya kuoshwa kichwa, maiti italazwa kwa ubavu wa kushoto na kuanza kuoshwa ubavu wa kulia, mbele na nyuma kwa pamoja kwa sabuni na maji safi mpaka itakate.
xiv.Kisha itaoshwa ubavu wa kushoto kama ilivyooshwa wa kulia.
xv.Baada ya makosho (maosho) haya mawili, la maji na sabuni na la kuondoa sabuni, kosho la tatu la maji liwekewe karafuu na marashi ili kulegeza viungo (maungo) vya maiti.
xvi.Baada ya makosho matatu haya, muoshaji anyooshe viungo vya maiti na kumlaza kama alikuwa mara tu baada ya kufa.
xvii.Kisha achukue nguo kavu na kumfuta maiti, na baada ya hapo maiti awekwe juu ya mkeka mkavu na kufunikwa kwa nguo kavu tayari kuvalishwa sanda (kukafiniwa).
Source: Bongoclass.com kupitia mafundisho matukufu ya Qur'an pamoja na sunnah za Mtume(s.a.w)
Ulitaka aliwe na nini?UKIMALIZA HAPO UNAENDA KUMZIKA KWENYE UDONGO NA KULIWA NA FUNZA.
Siwez kukataa ...... Lakini utaratibu ni utaratibu....lazima ufuatweHuu utaratibu utakuwa umeua watu wengi sana kwa magonjwa ya kuambukiza.
Huu utaratibu umekuwepo miaka yote kabla hata ya kuzuka hayo magonjwa....kuna maradhi mengine mtu akiwa alifariki kwa hayo hazi heka heka zote nawe utaondoka na hayo maradhi. eg, ebola, corona etc.
MbulaDa! ngachoka choki!
[emoji22][emoji2089]
Unamaanisha YESU alifanyiwa ujinga pungufu?Yesu hakufanyiwa huo ujinga wote mbona?
Aiiiight, unfortunately your perception doesn't make you wise or better than 'emWAARABU NI WA PUMBAFUUU SANA.
Ndio,,Mkuu..
yani kusafishwa ni kudhalilishwa??
Ooh.....sawaNdio,,
Kwanza sio kila mtu anapenda kuoga wengine wanatoka asubuhi washaoga badae wanakufa hivo sioni haja ya kuoga mara mbili
Sawa mwerevuuWAARABU NI WA PUMBAFUUU SANA.