Jirani anajenga Msingi wa ukuta katikati ya jiwe la mpaka la manispaa, Sheria ya Ardhi inaruhusu hii?

kwenye serikali za mitaa Kuna kamati za Ardhi ndio kazi zao.

Ujenzi wa hivi ni isharavya jiran mbaya. Na wengi wanaishia kuzikwa kabla ya kuhamia.

Kuna hawa watu wa jiran na Tanga, wanajifanya Ardhi wanaijua sana.
 
wenye serikali za mitaa Kuna kamati za Ardhi ndio kazi zao.

Ujenzi wa hivi ni isharavya jiran mbaya. Na wengi wanaishia kuzikwa kabla ya kuhamia.

Kuna hawa watu wa jiran na Tanga, wanajifanya Ardhi wanaijua sana.

Aliyejenga ukuta bila kuacha beacon nje sio mtu wa Tanga. Bali ni Mchaga
 
Sio kweli
Hakuna njia hapo baina ya viwanja viwili vinavyopeana ubavu
 
Sheria gani?
Mchoro wa block husika unaonyesha njia ubavuni?
Kama hakuna kwanini uache vichochoro?
 
Hivi mnatoa wapi hizi stori?
Ununue kiwanja cha 20*20 afu uje na mbwembwe za mita mbili kila upande?
Mnazalisha mapito ya vibaka

Wkt barabara kwny ramani zinaonekana
Vibaka wakiongezeka polisi,mahakama na magereza vipo.Unaogopa vibaka ndiyo ujenge nyumba kwa kuunganisha kama treni ya Kigoma?Sheria mtu wa Mungu.Sheria na siyo mazoea ya kuogopa wezi na vibaka.
 
Uliwahi kujenga Kate?Au ulijenga tu kwa sababu hakuna aliyekughasi ukaona upo sawa?Jielimishe "dugu yangu"?Unajua hata kuhamia kwenye nyumba yako uliyoijenga kunahitaji leseni?Uliwahi kudodosa au kuiona mkuu?
Tumejenga ndio na hakuna vichochoro hivyo mnasema

Huduma za jamii vichochoroni?hii mpya

Tunajenga kufuat plan ya viwanja eneo husika
 
Loh
 
Yupo sahihi... Wewe usiyejua ata setbacks kazi yake ndio haupo sahihi

Usiyejua mchoro una takaje ndio haupo sahihi

Nyie mnao ambiwa Ombeni vibari vya ujenzi ndio mnataka kuleta shida we zenu kuwa hisi hawafati taratibu
 
Nijuavyo mimi becon inatakiwa kuachwa nje, hutakiwi kuiingilia.
Sio lazima... muhimu hautoki ktk point husika... ata ukiling’oa halina shida ili mradi usitoke ktk point au majira ya nukta
 
Huna unalo lijua masikini ya mungu...

Hilo ndio naweza sema kwako... pambana ufahamu matumizi ya setbacks....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…