Wengi ni wabishi wasio elewa mambo yapoje bila kutaka kujielimishaFRESHMAN Inategemea na muundo wa block yenu. Kama ipo kama hii picha ilivyo kwa maana kwamba viwanja vyenu vipo "mkabala", basi jirani yupo sahihi na kakusaidia kujenga fence.View attachment 2371604
Hao watu ni watata asili hasa kwenye mambo kama hayo ya kuingia kwenye viwanja vya wenzaoNi mchaga
Una hitaji elimu ikusaidieKweli hata zile mita mbili kila upande wa kiwanja kuachwa hajaacha
Tafuta shule ya mipango miji ukasome Au ingia wizara ya ardhi Au ktk bodi ya mipango miji kajielimisheHuo ndio ushauri! Hapo juu, jamaa hawajui chochote, badala ya kupiga kimya, wao wameamua kujivua nguo!
Achana nae hana analojua na atak jifunza piaIngekuwa ndio hivyo nyumba zote zingekuwa zina vichochoro pande zote ndio hicho unamaanisha?
Mjinga huyoWewe ulitaka aweke wapi ukuta?akuachie beacon uani kwako?
Huyo jamaa ni mbishi anataka Kiwanja kiwe kisiwa Au kiwe na double access wakati kitu kimoja wapo ktk mipango miji ni kuondoa hiloSio kweli
Hakuna njia hapo baina ya viwanja viwili vinavyopeana ubavu
Maswali mazuriSheria gani?
Mchoro wa block husika unaonyesha njia ubavuni?
Kama hakuna kwanini uache vichochoro?
Wajinga na wajuaji ni wengi hivyo serikali ina kazi kubwa sana kupambana na hawa watu wa aina hii wasio jua taratibu zipoje na wana nunua viwanja wamemalizaHivi mnatoa wapi hizi stori?
Ununue kiwanja cha 20*20 afu uje na mbwembwe za mita mbili kila upande?
Mnazalisha mapito ya vibaka
Wkt barabara kwny ramani zinaonekana
Naona kaamua kumega eneo lako kama mrusi anavyoimega ukraine.Habari wadau,
Nina kiwanja changu kimepimwa na manispaa ya Ubungo.
Jirani yangu naepakana nae ameamua kujenga msingi wa ukuta wake kati kati ya jiwe linalotutenganisha..
Je, yupo sahihi? Sheria ya Ardhi inaruhusu hili kutokea?
Wataalamu na wazoefu naombeni ushauri
Tazama picha. Kiwanja changu ni upande wa kushoto na cha jirani ni upande wa kulia wa beacon
Beacon iliyowekwa na manispaa ndiyo hiyo pembeni ya mti (mti ameuweka ndani ya upande wa kiwanja changu) na hayo nyuma ndio matofali ya jirani
View attachment 2371564
Unacho zungumzia wala ukijuiUliwahi kujenga Kate?Au ulijenga tu kwa sababu hakuna aliyekughasi ukaona upo sawa?Jielimishe "dugu yangu"?Unajua hata kuhamia kwenye nyumba yako uliyoijenga kunahitaji leseni?Uliwahi kudodosa au kuiona mkuu?
Mkuu, hivi ukitaka kupima kiwanja kwa kuanzia kwenye beacon, tape unaielekeza juu ya beacon au kwenye edge?.Naona kaamua kumega eneo lako kama mrusi anavyoimega ukraine.
hapa ndiyo umejibu ki-GTUnacho zungumzia wala ukijui
Setbacks kila upande
Kulia kutoka ktk fensi/ukuta Au mpaka wa kiwanja 1.5m
Kushoto kutoka ktk ukuta/fensi Au mpaka wa kiwanja 1.5m
Nyuma kutoka ktk ukuta Au fensi mpaka wa kiwanja 1m
Mbele kutoka ktk ukuta/fensi Au mpaka wa kiwanja ni 2.5m
Kwann tuna takiwa kuacha hivi?
Kwa uchache eneo litakalo bakia baada ya kutoa hizo mita ndio jengo au nyumba ijengwe, nyumba isijengwe mpkani ila fensi ndio mpaka
Sasa hizi setbacks zinawekwa kusaidia
-kupitisha miundombinu kama system za maji safi na taka,
-parking/Open space/assembly area (ukienda sehemu kama za mabenk sheli vyuo nk wameonesha matumizi yake)
- umeme
- kujenga chemba
- kusaidia wakati wa majanga (mf. Moto usiweze sambaa kwa majilani na kusababisha mahafa zaidi, uweze zibitiwa haraka)
Hivyo tuelewe tujifunze tusipotoshe kama hatujui jambo
Unacho zungumzia wala ukijui

Yupo sahihi kama haja ingia eneo la mwingineNaomba maoni yako anachokifanya jirani kujenga kati kati ya beacon yupo sahihi ama hayupo sahihi?
Tazama vizuri picha inayoonesha jiwe la manispaa na matofali ya ukuta yake.
Nitashukuru ukinipa maoni juu ya hili swali langu
Unasikitisha.Umesoma komenti zangu zote au umeiona hiyo tu?Usiwe na kijiakili cha hivyo.Fuata komenti mojamoja utaona.Unacho zungumzia wala ukijui