My point is kwanini TRA wasiunganishie kila mtu free of charge ?, Mwanzo walisema ni bure ila unanunua alafu baadae una-claim kutoka kwenye Kodi yako (hilo bado lipo kwamba pesa itarudishwa)?
 
Hapo ndipo wanapofail kukusanya kodi kwanini uwauzie kitendea kazi mpe kila mfanyabiashara ili uweze kukusanya kodi
 
Hawa jamaa si walikatazwa kututishia ? Sa hii Kamata Wote inatoka wapi tena? huyu kidata Itakuwa keshashiba bila shaka.
 
Mleta mada kaleta tangazo la tra halafu kaungamisha na biashara yake. Hio vfd mleta mada ndio anauza sio tra. Tra wao wanataka utoe na udai risiti ya efd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…