Hahaha
Aise watu mnahasira

Ova
Ndio ambapo tumefikia kama taifa sasa, maana wa kututetea hayupo inabidi tujitetee wenyewe otherwise itafikia stage unapigwa makofi mbele ya mkeo
 
Mapato yapande halafu TRA waje kukaba watu madukani? Wakati mwengine tumia hata akili kidogo uepukane na kujidhalilisha na propaganda za mtandaoni 😅
 
Kama hela navyoitafuta kwa tabu hivi kuna mtu anafikiria kuwa itatoka kirahisi kwa kuniletea utoto wa kudai risiti then waje tu ili wawe mabalozi wazuri!
 
We unafikiri mi nategemea kulishwa na CCM kama wewe hapo Lumumba😅??? We lamba matako ya ma boss zako hapo kwa kusifia uongo
Maneno mengi ya nini,wewe usitoe lisiti utaleta majibu mengine..

Kwa taarifa yako siko Lumumba na silipwi chochote,na enjoy mazingira rafiki ya biashara as opposed to Mwendazake..

Kwa taarifa zaidi naitwa opportunity cost
 
Maneno mengi ya nini,wewe usitoe lisiti utaleta majibu mengine..

Kwa taarifa yako siko Lumumba na silipwi chochote,na enjoy mazingira rafiki ya biashara as opposed to Mwendazake..

Kwa taarifa zaidi naitwa opportunity cost
Mkuu mie ni mnunuzi na ntanunua penye unafuu sasa wewe na wenzio mnaolipwa mshahara njoeni na tai zenu za rangi ya karoti au parachichi halafu mlete kihere here chenu!

Unidai risiti kwa minajili ipi? Mbona tozo zetu mnazokusanya mnaficha hamtoi real time figures? Huo mfumo wa VDRM sijui muweke tuone tozo mnazokusanya in real time.
 
Mapato yapande halafu TRA waje kukaba watu madukani? Wakati mwengine tumia hata akili kidogo uepukane na kujidhalilisha na propaganda za mtandaoni 😅
Sasa Kazi ya TRA ni nini? Mapato yamepanda ila watu wanalega kutoa risiti inamaana serikali imefanya tathmni na kugundua kwamba pesa ni nyingi zinazopotea hasa kwa wauzaji kutotoa risiti na wanunuzi kutotoa risiti.

Miradi ni mingi lazima iishe,tukikopa mnasema Nchi itauzwa sasa ni kutumia ushauri wa Ndugai japo Huwa hasomeki kuna kipindi alisema TRA wasibanene bane sana tena akasema tubanane,sasa tumeamua kubanana..

Lipa Kodi mkuu acha mbwembwe.
 
Acha uongo bana we mapato yamepanda ondoeni tozo basi mbona
Mmeshupalia tozo
 
Lini serikali ilikuahidi kukupa taarifa za tozo kwa mda fulani? Pale awamu zilitolewa kama justification ya kuonyesha zikakapotukika na kuonyesha Kwamba hakuna madhara yoyote yaliyotokea kwenye uchumi.

Tozo inafanya mambo mengi kama hivi 👇









 
Acha uongo bana we mapato yamepanda ondoeni tozo basi mbona
Mmeshupalia tozo
Una Akili za kuku,Kwani tozo ziliwekwa kufidia Mapato kishuka? Tozo ziliwekwa kama chanzo kingine Cha mapato rasmi.

Serikali itapunguza Kodi na tozo bajeti ijayo ila haitaziondoa,Rais amelisema hili mara nyingi tuu..

Huduma unataka ila Kodi hutaki kulipa,lazima ushughulikiwe.
 
Huduma zipi ambazo mnazitoa kwa ukamilifu? Hospitali dawa always hakuna mpaka famasi za jirani! Umeme mgao mpaka saa 6 za usiku
 
Hawa jamaa si walikatazwa kututishia ? Sa hii Kamata Wote inatoka wapi tena? huyu kidata Itakuwa keshashiba bila shaka.
Wamachinga waliwambiwa wataondolewa taratibu ikawa vice versa...raha ya kuwa Kiongozi wewe ni unatamka tu alafu watajuwa wenyewe.
 
Nguvu ya soda plus Rushwa..utawala uliopita watu walikuwa wanaogopa Sana .Saiv wafanyabiashara hata hawajali kabisaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huduma zipi ambazo mnazitoa kwa ukamilifu? Hospitali dawa always hakuna mpaka famasi za jirani! Umeme mgao mpaka saa 6 za usiku
Mbona niliko hakuna Mgao? Dawa zingekuwa hazipo hospital usingekuta hospital zimejaa.Hizo ni porojo mnazodanganywa na machadema





 


Nyie subirini siku tutakapo watoa kwenye mav8 yenu mpande daladala ndio akili zitawakaa sawa….

Ndio mtajua kwanini mfanyabiashara anaona uzito kulipa kodi…

Purchasing power hakuna hao watakao nunua TRA anakisubiri…kilichobaki mfanyabiashara anakumbana na inflantion…akiangalia runinga watu wanakula mikopo nafuu kwa urefu wa kamba

Subiri kuna siku baharini ndio mtaona ni sehemu salama kwenu…
 
ni kweli tunakurahisishia na kupunguza garama kwani bila VFD itabidi ujipange sio chini ya laki sita kununua EFD au upigwe faini ya kuanzia milioni tatu na kuendelea....
Hivi umeambiwa humu watu hawana efd? Tangaza biashara yako mkuu
 
Yaani bado hatujamaliza kutafakari kuhusu mgao wa umeme, mara tunaletewa operesheni kama wote! Tutafika mbinguni tukiwa hooooiiiii sana
Na mitozoo yoteeee tunayokatwa...hlf mwaka uloisha si TRA walikusanya EXCESS...nawala hawakutumia .nguvu hii[emoji849]...wanaset tu mipango yao ya kula rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…