AbsolutelyKwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsolutelyKwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
Hivi ni wewe ulikataa kipindi kile kisa demu wako hajaajiriwa ukaona anamaliza mkataba atakuachaje ikabidi na wewe usitishe mkataba?Yaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.
Acha uongo Basi,kikwete ndo kafanya hayo uliyoandikaKuna mfumo wa maisha ambao kuuvunja ni vigumu! Ni awamu ya marehemu Magufuli watu kutoka familia za "kawaida" waliweza kuajiliwa usalama wa taifa, JWTZ, TRA, BOT na kadhalika.
Enzi zetu zikitangazwa nafasi za Polisi au Jeshi unashangaa watu kutoka Dar es salaam, Moshi, nk wanakuwa wazaliwa wa Kwimba!
"...aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile kidogo alichonacho atanyanganywa..."
Hilo nalo neno!Mbona tuna maelfu ya Mgambo ambao hawana kazi kitaa ila huo mchongo wa Iss sio sawa na kulinda geti
Nchambi, Chenge, Ngereja pamoja na ukwasi wao wakaondolewa kwenye kinyanganyiro cha kutetea maslahi yao!Uko sahihi sana mkuu sio huko tu, Ni katika utawala wa Magu ndio Mbuge anakuwa elected based on merits enzi za nyuma mbunge ilikuwa ni kwanza awe financially stable sana regardless ni Drug Dealers or Mafia kivyovyote awe na Power
And I'm doubting kuww wale Mamba 2025 watarudi mjengoni iwe la la saba au La Nne so long they have power in their surrounded societies
Mkuu huko Congo,Sierra Leone na kwingineko Waasi wanachukua hata watoto wanawapatia mafunzo ya haraka wanakabidhiwa silaha na wanakuwa tishio hata kwa jeshi la nchi sembuse hawa waliopewa mafunzo kwa miaka mitatu!Hao sio askr elewa kiswahili mkuu ni vijana walio kuwa chiniya malezi hata silaha hajifunzi deeply unafkir jeshi ni wajinga wakufunze afu wakurudishe?? Shida mnajidanganya eti wanajua kutumia silaha
viyotube tv[emoji23][emoji23]...bila kusahau Global kwa sabbu ndo mambo yao hayaIngekua habari ya udaku, kuanzia kesho ungewaona clouds, millardayo, IFM na viyoutube tv kama Lemutuz etc.
Ila ndo ivo.
Mkuu huko Congo,Sierra Leone na kwingineko Waasi wanachukua hata watoto wanawapatia mafunzo ya haraka wanakabidhiwa silaha na wanakuwa tishio hata kwa jeshi la nchi sembuse hawa waliopewa mafunzo kwa miaka mitatu!
Hapo kuna sehemu nimemzungumzia Kikwete mkuu?Acha uongo Basi,kikwete ndo kafanya hayo uliyoandika
Dhamira yangu ni njema mkuu kuepusha machafuko ndani ya nchi kwa kupata suluhisho tatizo la ajira si hao tu bali ni vijana wengi.Mbona umekazana sana ISS mkuu nini dhamira yako hasa
Hata Iddi Amini alikuwa anawaogopa Migambo baada ya Wapelelezi wake kuzikosa kambi za Mgambo ili kufanya hujumaHilo nalo neno!
Watu wamekoga vumbi na matope, mafunzo ya mgambo na mitutu wamefundishwa jinsi ya kuitumia na hao wajeda.
Everyday is Saturday............................... 😎
Yaani askari agome na kuandamana halafu ukae nae chini ujadili? Unajua madhara yake baadae? Wewe ni mzima kichwani au ni mihemko tu. Unajua hata maana ya Askari?Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Haijalishi wana elimu ganiVijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Haijalishi wana elimu ganiVijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
Sasa kuwakumbusha kwa kugoma na kuandamana?Kwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
Ulitaka wafanye wafanyeje?Sasa kuwakumbusha kwa kugoma na kuandamana?