JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Jeshini kosa la kutokutii amri na uhaini au uasi adhabu inafahamika.

Nadhani hawa hawakukamilisha mafunzo ndo maana jeshi halijaona hatari kuwaacha mtaani.

Wangekamilisha mafunzo kwa 50% ya kijeshi wasingethubutu kugoma, wangefata taratibu maana wanaelewa tafsiri ya hilo tendo.
 
Idadi yao unatosha kuanzisha "underground movements"
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.

Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).

Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.

Yangu ni hayo tu.
Hao ndio kwa heri hawana la kufanya.
Sisi oparation yetu kuna ambao hawakuajiririwa wakaenda kupangana pale jangwani eti wanaandamana waende ikilu wakadai ajira wale viongozi wao walidakwa wakachezea kichapo na lupango wakawekwa wengine wakakimbia ndio zhughuli ikaishia hapo.
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.

Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).

Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.

Yangu ni hayo tu.
Ingekua habari ya udaku, kuanzia kesho ungewaona clouds, millardayo, IFM na viyoutube tv kama Lemutuz etc.
Ila ndo ivo.
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.

Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).

Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.

Yangu ni hayo tu.

Vijana wametapeliwa tu hakuna cha uhahini wala nini.
 
Wanadai kwà sababu kundi hilo mwendazake aliwahakikishia kuwa wataajiriwa
Op yetu kunaa walioenda kuchimba barabara na vyoo kwa kikombe cha babu loliondo waliishia kurudi nyumbani nao waliambiwa hivyo hivyo watapewa kipaumbele cha ajira lakini waliishia home
 
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa kupewa ajira kwa kujenga Ikulu, Chamwino na hii ni kutokana na Vijana hao kufanya uasi kwa kugoma na kuandamana kwenda Ikulu.

via @ayotv

Mytake ; Gharama kubwa zilizotumika kuwaandaa hao vijana ili kuja kulitumikia taifa zinarejeshwa vipi?
Hela zimerudi siku nyingi mbona .
Unajua kruta ni trekta dogodogo lisilotumia mafuta ila linafanya kazi sana
 
Magufuli alikuwa tapeli
Wewe ni mwehu sasa Magufuli anakuaje tapeli wakati mtu hayupo!

Hao wamefukuzwa kipindi cha Mama Samia tena kwa kudai haki yao ambayo Magufuli aliwahakikishia kuwa wakimaliza tu wakapige kozi ya ajira halafu unakuja mjinga mmoja unasema Magu alikuwa tapeli.

Nakuuliza kuna vijana wa JKT wowote waliowahi ahidiwa ajira na Magu wakanyimwa ajira?
 
Kwa tetezi nasikia wamefanya kazi zaidi ya miaka 3+, wamejenga Chamwino, Ukuta wa Mererani, majengo ya magereza Ukonga, ndio walio ratibu wizi wa kura na usimamizi wa uchaguzi 2020 na n.k, pia waliahidiwa baada ya kumaliza shughuli zote hizo watapewa ajira jeshini lakini baadae upepo ukageuka na ndio maana walifanya mandamano kwenda Chamwino.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kama walishiriki kuratibu wizi wa kura basi ni karma inawatafuna. Amini nakwambia wote waliofanya au kushiriki udanganyifu na kutangaza kibabe ushindi ule!! Lazima walipe Kuanzia Juu mpaka chini. Mungu yuko kazini sababu Binadamu tulishindwa na Matokeo mnayaona.
 
Mtetezi wao kasha kwenda mavumbini

Pole sana kama ndugu zako isha kula kwao, jeshi halihitaji watu wasio fata order. Na hapo wamepata kisingizio cha kuwatimua.
 
Vijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
Duuh...inasikitisha sana

Haki huinuaTaifa

Huruma itawale vijana waangaliwe kwa jicho la tatu
 
Kuna mfumo wa maisha ambao kuuvunja ni vigumu! Ni awamu ya marehemu Magufuli watu kutoka familia za "kawaida" waliweza kuajiliwa usalama wa taifa, JWTZ, TRA, BOT na kadhalika.
Enzi zetu zikitangazwa nafasi za Polisi au Jeshi unashangaa watu kutoka Dar es salaam, Moshi, nk wanakuwa wazaliwa wa Kwimba!
"...aliyenacho ataongezewa na asiye nacho hata kile kidogo alichonacho atanyanganywa..."
Uko sahihi sana mkuu sio huko tu, Ni katika utawala wa Magu ndio Mbuge anakuwa elected based on merits enzi za nyuma mbunge ilikuwa ni kwanza awe financially stable sana regardless ni Drug Dealers or Mafia kivyovyote awe na Power
And I'm doubting kuww wale Mamba 2025 watarudi mjengoni iwe la la saba au La Nne so long they have power in their surrounded societies
 
Back
Top Bottom