JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Mliwaahidi mtawaajiri, sasa wao wamegoma na kuandamana ili kudai ahadi yao eti mnawafutia mikataba yao

Huyu mkuu wa majeshi nae anapaswa kutumbuliwa tu akale michembe chato uko
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa...
Vijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
 
Kweli Kigogo ni shida maana aliyasema haya mapema.

Hawana hela ya kuwaajiri na hata hao wengine wajiandae kisaikolojia.

Muda utasema.

Waandishi wa habari wanapaswa pia kuwahoji hao vijana tusikie na wao wanasemaje.
ukishapewa kesi ya uasi hutakiwi kuzungumza na vyombo vya habari, kwanza hakuna media itakayothubutu kuwahoji maana kesi yake sio ndogo
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.

Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu law haki maana teyari wameshaitwa waasi.

Yangu ni hayo tu.
Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.

Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.

Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
 
Ni vyema jeshi wakaona haja ya kurecruit hao vijana pindi kunapokua na uhitaji kuliko kuwapa mafunzo na kuwapigisha mzigo for years bila kuwa na uhakika wa kuwapa hizo ajira.
Kwani walipojiunga na jeshi walijaza mkataba wa ajira?

Kwakuwa wameshapata mafunzo mbalimbali wafikirie kujiajiri, wajiingize kwenye ufundi mwashi, kilimo, useremala n.k

Hawakuhakikishiwa ajira
 
Vijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
Ndio maana nasema tunahitaji kusikia kutoka kwa hawa vijana pia.
 
Kwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
 
Kwani waislamu wana nini mkuu unaenda mbali na kuvuka mipaka sasa udini unaingia vipi na ugaidi
Wana kitu kinaitwa JIHAD, sio mchezo hiyo

Pia ni rahisi kujiingiza kwenye ugaidi kuliko dini nyingine yoyote
 
Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.

Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.

Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
Mliwaahidi nini?
 
Na ndiyo tatizo la kuendekeza ukada wa CCM hadi kwenye vyombo vya dola. Leo hii huko TISS wamejaa uvccm ambao hawana maadili kabisa ya kazi hiyo ndiyo wanasumbua hata kwenye mabaa na vibastola vyao. Zamani ni vigumu sana kuwajua hao watu.
Usikute hadi Ole Sabaya nae eti ni Tiss! Kisa tu aliwahi kuwa kiongozi uvccm! Maana kipindi kile alishtakiwa kwa kugomea kulipa gharama za kulala kwenye hotel kule Arusha huku akipekuliwa na kukutwa na kitambukisho feki cha Tiss! na wakati kesi inaendelea, mzee akampa shavu la Ukuu wa Wilaya!!

Kazi kweli kweli!!!
 
Back
Top Bottom