JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

We unafikiri JKT wanapewa mafunzo gan ya maana? Mafunzo waliyo nayo hayana tofaut na mgambo wa mtaan hawana madhara hao, wakienda kujiunga na wahasi itabidi wapewe mafunzo kamili kwanza kitu ambacho hata mtu ambae hajapitia JKT anaweza kutengenezwa kuwa muhasi

Mimi nachoona ni kuwa hawajatendewa haki na wametengeneza vijana 800 wapya watao ichukia nchi yao wameshawaharibia ndoto zao wengine wameshakua walemavu kutokana na kazi hizo ngumu walizo fanyishwa kwa muda mrefu.
JKT ni kupotezeana muda hasa katika kipindi hiki ambacho siasa imeingia majeshini
 
Uasi upi? hii habari ya uasi huko kwa wenzetu mpaka leo inatesa sana kina boko haram, sasa vijana 854 ni idadi kubwa wakishikana hawa na kushawishi wengine mbona ni hatari
 
Na kwakuwa kuna Waislam miongoni mwa hao vijana kwakweli hali ni ya hatari zaidi.

Ugaidi na Jihad vitapamba moto. Serikali iliangalie hili jambo.
Dah mwamba hehehehe

Ova
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.

Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).

Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.

Yangu ni hayo tu.
Binafsi naamini wewe ni kati ya watu Makini sana humu, ila kwa hili naona ulitakiwa kufanya Analysis mwenyewe kabla ya kuja na Thread kama hii.

Chukulia mtu anayetarajiwa kuingizwa rasmi kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama Leo anatumia njia ya Kugoma na Kuandamana kushinikiza jambo , je unategemea nini kitatokea huko mbeleni baada ya kuwa Askari Kamili. Na hili ni kundi kubwa.

Nina Uhakika wewe unajua vizuri sana haya Mambo sema UMEFANYA KUSUDI .

Hata kama una Negativity na Serikali lakini sio kila jambo ni kukosoa tu. Otherwise kati ya hao vijana KUNA KIJANA WAKO.
 
We unafikiri JKT wanapewa mafunzo gan ya maana? Mafunzo waliyo nayo hayana tofaut na mgambo wa mtaan hawana madhara hao, wakienda kujiunga na wahasi itabidi wapewe mafunzo kamili kwanza kitu ambacho hata mtu ambae hajapitia JKT anaweza kutengenezwa kuwa muhasi

Mimi nachoona ni kuwa hawajatendewa haki na wametengeneza vijana 800 wapya watao ichukia nchi yao wameshawaharibia ndoto zao wengine wameshakua walemavu kutokana na kazi hizo ngumu walizo fanyishwa kwa muda mrefu.
JKT ni kupotezeana muda hasa katika kipindi hiki ambacho siasa imeingia majeshini
Kule wanafundishwa ukakamavu na kuwa wazalendo tu
Mambo ya ajira hakuna mzee...ajira wanasiasa wanachomekea tu

Ova
 
Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.

Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu kwa haki maana teyari wameshaitwa waasi(sifa mbaya sana katika Jamii na kila watakokwenda).

Mazingira ya kufukuzwa hawa vijana, kwa mtazamo wangu, hayana tofauti na mazingira ya wale vijana waliofukuzwa UDOM na hayati Magufuli mwaka 2017.

Yangu ni hayo tu.
Hao hutumia na serikali kwenye hujuma mbalimbali kama wizi wa kura. Wengine hupelekwa Zanzibar kupiga kura za bandia. Waache wavune walichopanda.
 
JKT sio sehemu ya ajira kahyo haiwezi kubadilisha chochote.

Ungesikia JWTZ wametimuliwa 800 hapo lazima mtafute chaka la kukimbilia maana balaa lake sio la mchezo
 
1 mpaka 800 ni wachache? Jipeni matumaini ila muda huo ni lazima tuwe makini
800 ni wachache sana mzee hiyo ni sawa na platoon 10 tu za kijesh ndo maana wameweza kuwaondoa kwenye kambi za jkt na kuwarudisha makwao.
Jeshi lolote lile kuandamana ni kosa la uhasi na muhasi hukumu yake ni kuuwawa.
Vijana wamekosea lakin sababu ya kukosea Ni l serekali iliwakosea kwanza kitu ambacho kimewafanya washindwe kuwa wavumilivu na kiuhalisia ni uonevu
 
Hii haina afya kwa taifa...vijana hawa wakotrained kwenye kila kitu kinachohusu matumizi ya nguvu, hivi hawaoni kwamba hivyo vitendo vya uasi vitakuja mtaani.?

Anyway Muda ni mwalimu mzuri
 
“Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey
----------

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa kupewa ajira kwa kujenga Ikulu, Chamwino na hii ni kutokana na Vijana hao kufanya uasi kwa kugoma na kuandamana kwenda Ikulu.

via @ayotv

Mytake ; Gharama kubwa zilizotumika kuwaandaa hao vijana ili kuja kulitumikia taifa zinarejeshwa vipi?
Wanapeleka Uanaharakati Jeshini? JKT imeanzishwa na kuendeshwa kisheria. Muda wa vijana wa kujitolea kukaa jeshini ni miaka 2 wanarudi makwao. Tuna vijana wangapi waliopo uraiani baada ya kumaliza muda wao tangu JKT ianzishwe? Tumewahi kuuliza hiyo gharama iliyotumika kuwaandaa. Hao wajenzi 854 waje tu uraiani tutaishi nao tu kama wale wengine kutoka vikosi mbalimbali nchi nzima.
 
Wewe ni mwehu sasa Magufuli anakuaje tapeli wakati mtu hayupo!

Hao wamefukuzwa kipindi cha Mama Samia tena kwa kudai haki yao ambayo Magufuli aliwahakikishia kuwa wakimaliza tu wakapige kozi ya ajira halafu unakuja mjinga mmoja unasema Magu alikuwa tapeli.

Nakuuliza kuna vijana wa JKT wowote waliowahi ahidiwa ajira na Magu wakanyimwa ajira?
Milioni 50 ziko wapi ?

Viwanda 100 kila mkoa viko wapi?

Maendeleo hayana chama.

Magu kakaa Ikulu miaka zaidi ya 5, ameajiri wanajeshi wangapi wewe tikitimaji ??

Ahadi ngapi Magu alizitoa akatekekeza ??
 
Binafsi naamini wewe ni kati ya watu Makini sana humu, ila kwa hili naona ulitakiwa kufanya Analysis mwenyewe kabla ya kuja na Thread kama hii.

Chukulia mtu anayetarajiwa kuingizwa rasmi kwenye Majeshi ya Ulinzi na Usalama Leo anatumia njia ya Kugoma na Kuandamana kushinikiza jambo , je unategemea nini kitatokea huko mbeleni baada ya kuwa Askari Kamili. Na hili ni kundi kubwa.

Nina Uhakika wewe unajua vizuri sana haya Mambo sema UMEFANYA KUSUDI .

Hata kama una Negativity na Serikali lakini sio kila jambo ni kukosoa tu. Otherwise kati ya hao vijana KUNA KIJANA WAKO.
Wanyima wanajeshi haki zao halafu uone kama watakuwa watiifu.
 
Kama wameweza kujadili Amri mpk wakamudu maandamano nn kitashindkn kwao?! Ni ngumu kumeza lkn busara ingetawala wacngelufikia kuandamana pngne wangeajiriw yn
 
Back
Top Bottom