Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
We unafikiri JKT wanapewa mafunzo gan ya maana? Mafunzo waliyo nayo hayana tofaut na mgambo wa mtaan hawana madhara hao, wakienda kujiunga na wahasi itabidi wapewe mafunzo kamili kwanza kitu ambacho hata mtu ambae hajapitia JKT anaweza kutengenezwa kuwa muhasi
Mimi nachoona ni kuwa hawajatendewa haki na wametengeneza vijana 800 wapya watao ichukia nchi yao wameshawaharibia ndoto zao wengine wameshakua walemavu kutokana na kazi hizo ngumu walizo fanyishwa kwa muda mrefu.
JKT ni kupotezeana muda hasa katika kipindi hiki ambacho siasa imeingia majeshini