JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Yaani watu wanapodai haki zao ndiyo uasi! Bora tu niliahirisha kwenda Monduli enzi zile. Maana mpaka muda huu ningekua nimeshambamiza mtu risasi ya kichwa.
Hivi ni wewe ulikataa kipindi kile kisa demu wako hajaajiriwa ukaona anamaliza mkataba atakuachaje ikabidi na wewe usitishe mkataba?
 
Acha uongo Basi,kikwete ndo kafanya hayo uliyoandika
 
Mbona tuna maelfu ya Mgambo ambao hawana kazi kitaa ila huo mchongo wa Iss sio sawa na kulinda geti
Hilo nalo neno!

Watu wamekoga vumbi na matope, mafunzo ya mgambo na mitutu wamefundishwa jinsi ya kuitumia na hao wajeda.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nchambi, Chenge, Ngereja pamoja na ukwasi wao wakaondolewa kwenye kinyanganyiro cha kutetea maslahi yao!
 
Walishiriki wizi wa kura na kuwapiga wapinzani ngedere hawa sasa waje mtaani tuyajenge na wakiiba tu motooo ***** zao
 
Hao sio askr elewa kiswahili mkuu ni vijana walio kuwa chiniya malezi hata silaha hajifunzi deeply unafkir jeshi ni wajinga wakufunze afu wakurudishe?? Shida mnajidanganya eti wanajua kutumia silaha
Mkuu huko Congo,Sierra Leone na kwingineko Waasi wanachukua hata watoto wanawapatia mafunzo ya haraka wanakabidhiwa silaha na wanakuwa tishio hata kwa jeshi la nchi sembuse hawa waliopewa mafunzo kwa miaka mitatu!
 
Tuna mbuga kibao za wanyama hivi serikali inashindwa.nini kuwachukua wakalinde tembo na vifaru vyetu waparangane nazo huko mwituni kuliko kuaachwa wazurure mtaani
 
Mkuu huko Congo,Sierra Leone na kwingineko Waasi wanachukua hata watoto wanawapatia mafunzo ya haraka wanakabidhiwa silaha na wanakuwa tishio hata kwa jeshi la nchi sembuse hawa waliopewa mafunzo kwa miaka mitatu!

Hawapew mafunzo kwa miaka mitatu koz ni 6 months baada ya hapo n kujenga taifa kwa kfnya shghl mbalmbal
 
Hilo nalo neno!

Watu wamekoga vumbi na matope, mafunzo ya mgambo na mitutu wamefundishwa jinsi ya kuitumia na hao wajeda.

Everyday is Saturday............................... 😎
Hata Iddi Amini alikuwa anawaogopa Migambo baada ya Wapelelezi wake kuzikosa kambi za Mgambo ili kufanya hujuma
 
Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Yaani askari agome na kuandamana halafu ukae nae chini ujadili? Unajua madhara yake baadae? Wewe ni mzima kichwani au ni mihemko tu. Unajua hata maana ya Askari?
 
Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Haijalishi wana elimu gani
 
Bora jina la utovu wa nidhamu ndo lingetumika badala ya uasi
 
Kwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
Sasa kuwakumbusha kwa kugoma na kuandamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…