JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Habar wana jf .... napenda kuwakumbusha wenzangu na mimi wanaopenda jeshi...wakae wakijua jkt hakuna ajira....kuna mdogo wangu katoka kambini karud nyumbani kachakaaa analia hapa ....japo mwanzoni nilimkataza asiende.....ajira jkt ni bahat tu ..kule ni kujifunza ukakamavu na misoto
 
kama umepaniki hivi, tuliza akili uje na fact nzito nzito chief...
 
JKT sio sehemu ya ajira kahyo haiwezi kubadilisha chochote.

Ungesikia JWTZ wametimuliwa 800 hapo lazima mtafute chaka la kukimbilia maana balaa lake sio la mchezo
Tofauti ni organization tu.JWTZ wanaweza kuwa organized kuliko hao vijana.
TANZANIA ipo Imara,IPO SALAMA
 
Kule ni kujitolea na kupata stadi za kazi
 
Jkt ianze kufunza na Wizi ili Vijana wakikosa ajira waweze kuvamia Benki zilizojaa fedha za akina Ndugai
 
Unaona sasa ulivyo ndezi kubwa jinga!

Unaulizwa hiki unaleta habari za viwanda
Milioni 50 ziko wapi ?

Viwanda 100 kila mkoa viko wapi?

Maendeleo hayana chama.

Magu kakaa Ikulu miaka zaidi ya 5, ameajiri wanajeshi wangapi wewe tikitimaji ??

Ahadi ngapi Magu alizitoa akatekekeza ??
 
Unajua ukiwa mle ndani mia kwa mia unajua wewe unaenda jw moja kwa moja na niliona wengine wanakataa ajira za vyombo vingine kisa wanataka bakabaka hadi kuwachukulia kumaliza mkataba.
 
Waandishi wa habari nchi hii wanajali pesa hawana uthubutu
 
Jkt ianze kufunza na Wizi ili Vijana wakikosa ajira waweze kuvamia Benki zilizojaa fedha za akina Ndugai
Hawajashindwa ni vile vitendea kazi hawana.
Silaha zingekuwepo kiholela kama kule mwanzo mbona siku nyingi kingeshanuka
 
Hawajashindwa ni vile vitendea kazi hawana.
Silaha zingekuwepo kiholela kama kule mwanzo mbona siku nyingi kingeshanuka
Mbona kwenye jimbo la philipo Isdori Mpango kuna magitaa ya kutosha
 
Huko jeshini si nasikia ni NDIYO tu hao walifanyaje tena!
 
Hao vijana wametumia Wrong approach walikuwa emotional sana wawalaumu viongozi miongoni mwao waliowaingiza Mkenge, Jeshi halitaki Activists na Watu wa Ujinga wa ivo kutii order ndio misingi ya Jeshi, Hao vija a warudi Twitter kuungana na matalumbeta ya kule waendelee kulaumu serikali
Wapumbavu kabisa hao
Note upumbavu sio tusi bali ni Sifa
 
Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.

Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.

Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
Wenyew hayati aliwaahid ajira mkuu baada ya ujenzi kinachouma wamebaguliwa baadhi tu
 
Jeshini utafanya mema 100 sifa itapokea jeshi lote lakin ukifanya kosa 1 hilo ni la kwako na unafukuzwa bila kujali ulifanya mema mangapi

Ni vizuri vijana wakaelimishwa mapema kuwa JKT siyo sehemu ya ajira, na hata ukikatika kidole kimoja cha mkono ukiwa kwenye mafunzo ya JKT bado hayo hayo majeshi zima Moto, Jwtz,polisi,magereza, watakataa kukuajiri kwa kukuita unfit bila kukumbuka kuwa ulipata tatizo ukiwa JKT.

Kwahiyo watu waende huko huku wakiwa wamefungua moyo kwa lolote ukipata ajira kwenye jeshi lolote hiyo ni rizk yako na pia hata ukikosa uwe tayari umeshajiandaa kiakili...
 
Tanzania Kudai Haki = Uasi
 
Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.

Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.

Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
Hayati Magufuli alitamka hadharani vijana 2400 wapewe ajira jeshini moja kwa moja wasiende kwingine.
Tena akaonya Msiweke watoto wenu.
Babu yao kaondoka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…