mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Inasemekana walipelekwa msata kupiga kwata la maana baada ya hapo wakaomba warud majumban kwao wale wabishi walipelekwa ngelengele kwa wale jamaa wa kuvuta magari kwa menoKama waliandamana baada ya kugeukwa, hiyo ni sahihi kabisa.
Hata hivyo, ndio wajifunze kuwa CCM sio wema.
Wanao wazazi.Kwa status hiyo, watakataliwa sehemu nyingi tu na ndio maana kuna umuhimu wa kusikia kutoka kwao ili tupime/tuwaweke kwenye mizani sahihi wao na serikali.
Amiri Jeshi Her Excellency Madam President of URT Hon.Samia S.Hassan,please have mercy to those young Soldiers. They completed their task @building New State Houses, consider them and listen to what really happened there.Kwanini waliwaahidi kuwa wajitolee kwenye ujenzi wa Ikulu mpya ya Chamwino kisha watapewa ajira ya kudumu Jeshini?? Kazi imeisha wametimuliwa. Kwani ni kosa kuwakumbusha Wahusika ahadi yao kwao??
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia.
Nimesoma habari moja kuwa JKT imesitisha mikataba na kuwafukuza vijana zaidi ya 800 baada ya kuandamana Ikulu wakinishinikiza kuajiriwa
Baada ya hao vijana kuja mtaani,wanajua kushika silaha na mafunzo ya awali ya kujihami,je hao vijana hawawezi kujiunga na vikundi vya kigaidi kama cha ISS huko Msumbiji?
Je serikali inawafuatilia hao vijana zaidi 800 mienendo yao mitaani kama sio rahisi kushawishika kujiunga na vikundi vya kigaidi kwa ukosefu wa ajira na kuleta majanga nchini?
Au unaweza ukawa mtego,wakashawishiwa kugoma wadai ajira ili watimuliwe wakajiunga na ISS huko Msumbiji
Serikali ibuni mikakati ya kuajiri vijana au kuwawezesha kupata mazingira rahisi kujiajiri ili kuepuka kushawishika kuvuka mpaka kule kusini na kujiunga na ISS
Narudia kuwatimua vijana 800 JKT ni hatari zaidi kwa usalama uliopo kusini mwa Afrika
Unamuahidi mtu bila kutekeleza ahadi yako ukikumbushwa unamuita mkumbushaji muasi ili kuhalalisha kumnyima haki yake..pathetic pityTanzania Kudai Haki = Uasi
Kama waliratibu au kushiriki kwenye wizi wa kura mimi ni nani ni wahurumie ?Kwa tetezi nasikia wamefanya kazi zaidi ya miaka 3+, wamejenga Chamwino, Ukuta wa Mererani, majengo ya magereza Ukonga, ndio walio ratibu wizi wa kura na usimamizi wa uchaguzi 2020 na n.k, pia waliahidiwa baada ya kumaliza shughuli zote hizo watapewa ajira jeshini lakini baadae upepo ukageuka na ndio maana walifanya mandamano kwenda Chamwino.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ili tujue ukweli ni vema tusikilize upande wa pili.Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.
Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.
Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
Lawama zao kwa marehemu zitasaidia nini ?
Kama walishiriki kuiba kura zetu wale wangewatoa pale hata kwa viboko.Kama walishiriki kuratibu wizi wa kura basi ni karma inawatafuna. Amini nakwambia wote waliofanya au kushiriki udanganyifu na kutangaza kibabe ushindi ule!! Lazima walipe Kuanzia Juu mpaka chini. Mungu yuko kazini sababu Binadamu tulishindwa na Matokeo mnayaona.
Au ndiyo wale walikuwa na masweta yameandikwa jeshi la akiba ?Kama walishiriki kuratibu wizi wa kura basi ni karma inawatafuna. Amini nakwambia wote waliofanya au kushiriki udanganyifu na kutangaza kibabe ushindi ule!! Lazima walipe Kuanzia Juu mpaka chini. Mungu yuko kazini sababu Binadamu tulishindwa na Matokeo mnayaona.
Yaani wameshindwa kabisa kukaa nao chini wakamalizana hadi wawafukuze? Kwahio tuna jeshi bado linalotumia nguvu zaidi kuliko akili zaidi. Kwa babahti mbaya sana hata wakiwahoji hawataweza kuandika chochote, hatuna waandishi wenye uthubutu huo
Ungetuletea mahojiano yako ungetusaidia badala ya kutuma waandishiSiwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.
Si hawakuwa askari au mimi sikumsikia vizuri mabeyo ?Yaani askari agome na kuandamana halafu ukae nae chini ujadili? Unajua madhara yake baadae? Wewe ni mzima kichwani au ni mihemko tu. Unajua hata maana ya Askari?
Alikuwa anadokeza tu mchezo mzima anaujuaKumbuka maneno ya spika kuhusu vijana wa kitanzania
Ahadi ni deni unadhan hao vijana kwa hasira zao wakapata chaka huko nchi za nje tutakua salama kwelKwani wewe ulitaka jeshi lifanyeje sasa