JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

Huenda pindi wenzao wanafundishwa uzalendo, wao wanakoroga zege isilale

[emoji23][emoji23][emoji23]wameshindwa kujiongeza kusubiri na mama asingewacha ila wamejitia doa habari za majeshi wazisikie tuu saiz . Hii pia inachangia watu wanajifunza uzalendo wengine wako tengoo
 
Vijana ambao ni taifa la kesho hawaaminiwi ...

Sasa hao wazee wakizeeka watakipata cha moto
 
Hakuna gharama. JKT hakuna cha bure
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wameshindwa kujiongeza kusubiri na mama asingewacha ila wamejitia doa habari za majeshi wazisikie tuu saiz . Hii pia inachangia watu wanajifunza uzalendo wengine wako tengoo
Yani wanaharibu mfumo wao wanaowatengeneza,Tumeshuhudia kwa wacheza Mpira wanaoenda jkt,wenzao wanasomewa madhara ya migomo,wao wapo uwanjani wanaruka koni
 
Hata kama hazirejeshwi ndio uajiri WAASI?
 
Yani wanaharibu mfumo wao wanaowatengeneza,Tumeshuhudia kwa wacheza Mpira wanaoenda jkt,wenzao wanasomewa madhara ya migomo,wao wapo uwanjani wanaruka koni

Umeona mkuu hii inatakiwa iangaliwe upya mtu ana week moja ya mafunzo anapelekwa tengo hata pared hajui askr gani ndyo hao hawana uvumilivu wanakuwa na mihemko ya kiraia wanaleta siasa jeshini sijawahi ona
 
Kigogo alishasema kwamba Magufuli aliwaingiza chaka kwamba waajiriwe alivyoenda tu kibarua chao kikaota nyasi.
 
Tunavyosemaga hapa kuwa serikali ya CCM ni hopeless na serikali laghai huwa hatutanii hata kidogo.
 
Usiangalie gharama za kuwa train, angalia hasara ambayo wangeliletea Taifa kwa roho yao hiyo ya uasi. Hao ni waasi tu hakuna jina lingine unaweza kuwaita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…