Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
kuna utaratibu wa kudai haki jeshini. sio kama uraiani .Kudai haki zao ni uasi?
Vijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwaoSiwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa...
Sasa wanatutangazia ili iwe nini?Jeshi halinaga upande wa pili bwashee!
ukishapewa kesi ya uasi hutakiwi kuzungumza na vyombo vya habari, kwanza hakuna media itakayothubutu kuwahoji maana kesi yake sio ndogoKweli Kigogo ni shida maana aliyasema haya mapema.
Hawana hela ya kuwaajiri na hata hao wengine wajiandae kisaikolojia.
Muda utasema.
Waandishi wa habari wanapaswa pia kuwahoji hao vijana tusikie na wao wanasemaje.
Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.Siwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa.
Wateendeni haki hawa vijana ili umma uweze kuwahukumu law haki maana teyari wameshaitwa waasi.
Yangu ni hayo tu.
Kwani walipojiunga na jeshi walijaza mkataba wa ajira?Ni vyema jeshi wakaona haja ya kurecruit hao vijana pindi kunapokua na uhitaji kuliko kuwapa mafunzo na kuwapigisha mzigo for years bila kuwa na uhakika wa kuwapa hizo ajira.
Ndio maana nasema tunahitaji kusikia kutoka kwa hawa vijana pia.Vijana hao, hawajawahi kulipwa chochote,walikuwa wanapewa chakula na malazi tu. Wengi ni kidato cha sita kutoka mikoa ya kanda ya ziwa, wameishi na kufanya kazi ikulu ya Dodoma kwà zaidi ya miaka miwili,leo wanafukuzwa bila hata kupewa nauli ya kwenda makwao
Wanadai kwà sababu kundi hilo mwendazake aliwahakikishia kuwa wataajiriwaUnaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.
Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.
Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
Wana kitu kinaitwa JIHAD, sio mchezo hiyoKwani waislamu wana nini mkuu unaenda mbali na kuvuka mipaka sasa udini unaingia vipi na ugaidi
Mliwaahidi nini?Unaongea sana ndio maana hata huwa hujui unatafuta nini.
Kwanza hakuna asiyejua kuwa JKT tangu wanatoa matangazo yao, hawatoi AJIRA. Ni sehemu ya kujitolea.
Kwa vyovyote wasipokupa Ajira, huna msingi wa kudai.
Usikute hadi Ole Sabaya nae eti ni Tiss! Kisa tu aliwahi kuwa kiongozi uvccm! Maana kipindi kile alishtakiwa kwa kugomea kulipa gharama za kulala kwenye hotel kule Arusha huku akipekuliwa na kukutwa na kitambukisho feki cha Tiss! na wakati kesi inaendelea, mzee akampa shavu la Ukuu wa Wilaya!!Na ndiyo tatizo la kuendekeza ukada wa CCM hadi kwenye vyombo vya dola. Leo hii huko TISS wamejaa uvccm ambao hawana maadili kabisa ya kazi hiyo ndiyo wanasumbua hata kwenye mabaa na vibastola vyao. Zamani ni vigumu sana kuwajua hao watu.
Mambo hayaendi kwa ahadi bali kwa mikataba.Mliwaahidi nini?
Upo sahihi comradeSiwafundishi kazi, bali naamini taalamu yenu inawataka mfanye hivyo na si kuishia kupata taarifa za upande mmoja tu kwa maana ya maelezo ya viongozi wa Jeshi na serikali tu bila kuwahoji Vijana waliofukuzwa....
Magufuli alikuwa tapeliWanadai kwà sababu kundi hilo mwendazake aliwahakikishia kuwa wataajiriwa