TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Apumzike kwa Amani mtumishi mwema. Salimia Ndugu Jiwe.
 
Aliomba msamaha mkakataa, mkampora u spika kwa nguvu mkampa.msongo wa mawazo hadi hapa alipofikia..

Leo ndo mtamzika kwa mbwembweee zote ila nyie CCM nyiee kama mbigu ipo aisee hamuendi..
Kabla ya hayo tayari alikua mgonjwa
 

ALIWATESA SANA WAPINZANI BUNGENI. APEWE HUKUMU ANAYOSTAHILI.

TUSIMUNGUNYE MANENO!
 
Hakika Mwenyezi Mungu peke yake anajua Saa (ya Kiyama); na anateremsha mvua; na anajua yaliyomo matumboni. Na mtu hajui atafanya nini kesho; wala hajui mtu ni nchi gani atakofia. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari.”
(Surat Luqman 31:34)
 
Alijiwekea kinga ya kutoshtakiwa sasa kifo kimempata je nako kuna kinga ya kutohukumiwa na Mungu kwa yale aliyoyatenda kuanzia 2015 hadi 2021.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…