Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Fedha anazopewa ni stahiki zake yeye kama mbunge na mtumishi wa umma na sio kama hisani ili kumfunga mdomo.Sasa hela mmepewa kwanini hamfungi mdomo? hivi mmezaliwa mnaongea?
Daa nimeiona no 654
Nimepitia posts zilizowekwa hapa, nimegundua kuwa Watanzania wengi siku hizi hawajui kuwasiliana kwa kutumia mitandao, wanatumia lugha ambazo si za kistaarabu. Sijui huwa ni matokea ya frustrations za maisha au vipi, ila wengi hutumia mitandao kuandika pumba sana. Kuna mifano hata nje ya hapa JF inayoonyesha ninalozungumzia:
(4) hapa JF watu huandiaka matusi kila wakipishana mawazo: maneno; mpumbavu, mjinga, fala, bwege, na kadhalika yamekuwa ya kawaida sana kwenye mijadala hapa. Kuna sehemu moja kwenye psychology inayosema watu wenye upungufu fulani wa akili huwa ni wepesi wa kutumia lugha kali za matusi ili wasionekane kuwa wana upungufu wowote.
Jamani lisu alidhurumiwa na awamu ya tano. Malipo yoyote hayatoshi kulipa hiyo dhulma.Yani katika watu 394 ww umeliona jina la Lisu tu peke yake? Ama kweli mahaba ni ugonjwa, ila kumbuka jamaa ana mke tayari.
Mungu mkubwa hata mimi mshahara wangu mama kauongeza mwezi huu. Hata yale makato ya 15% ya Loan Board yaliyokinyume na mkataba na yaliyokiuka one third ya mshahara sitayasikia tena. Mama nitakuombea kila siku uishi maisha marefu.Utakufa na kihoro.. kalinde kaburi la mungu wako. Anaoza kule
Kijana Roho inakuuma sana Lissu kuliowa Mamilioni yake.hivi cha ajabu nini hapa!!maana lissu amewahi kuwa mtumishi wa uma kupitia ofisi ya bunge!!!
kuna watu wangapi hapo,ila akaonekana lissu!!wazee wa mizuka mnaendelea kudemka.
Kufa kabisa na roho mbaya yako kama ya yule gaidi wa chatoUjinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Usaliti UPI au wamama yetu nyumbani hapo anaomsaliti dingi nasikia mtoto watatu mdogowako hamfanani kabisaUjinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Naskia yupo Kenya hapo katua Jana sijui juzi...Sasa aje achukue hiyo hela na aunge juhudi mkono asipige kelele zisizo na sababu
wewe na wenzako ni mbuzi tu,kama unakumbuka lissu alifungua malalamiko punde tu alipoamka kitandani akisaidiwa na wanasheria wenzake akina kibatala.haki aliyoikosa ni ubunge ila pesa zake ilipendekezwa zilipwe,zikawekwa kama deni.Kijana Roho inakuuma sana Lissu kuliowa Mamilioni yake.
Unashindwa kujibu hoja bila kutudhihaki?wewe na wenzako ni mbuzi tu
Haya majina ni ya mwaka 2017,,,,
JinyongeKuna Tundu mmoja tu hii dunia?
Mkuu kubali matokeo upepo umebadilika utakonda bure.Ujinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Acheni kutukanana, kama hauwezi kuvumilia maoni ya mtu mwingineAcha ujinga we fala.
umechagua mstari wa kuusoma huo tu,ishi hapo.Unashindwa kujibu hoja bila kutudhihaki?