Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Waliompiga risasi naamini hali itakua mbaya sana kwao ,mama anawacha taratibu
Waliompiga Risasi katika jaribio la kumuua Tundu Lissu matumbo ya kuhara yatakua yameanza Raisi Samia anaelekea huko.
 
hoja za kusema naumia lissu kulipwa!!!

wamelipwa watu wangapi hapo!!
Hoja ya Mwandishi ni kwamba Mhe Tundu Lissu amelipwa na Samia baada ya kudhulumiwa na Magufuli sasa wewe unataka kufosi tuwajadili na hao wengine waliolipwa basi anzisha Uzi kuhusu hao jamaa hakuna mtu anaekukataza na tutakuja kuchangia.
 
NAOMBA KUJUA WAPI YANAFANYIKA MALIPO YA MALIMBIKIZO YA WATUMISHI WA SERIKALI / UMMA?

Habari wana JF naomba nifahamishwe ni wapi yanapo fanyika malipo ya malimbikizo ya watumishi wa umma?

Natanguliza shukran zangu
Mtumishi ana madai mengi ila hii huitaa ARREARS (MADAI YA MAPUNJO YA MSHAHARA).

Haya hulipwa....
1. Mtumishi humuandikia barua mwajiri kueleza hayo madai.
Huambatanisha vielekezo vyotee kama salary slip na bank statement.

2. Mwajiri akisha Saini humuelekeza HR kushughulikia.

3. HR huthibitisha kwenye mfumo halafu humuelekeza Muhasibu wa mishahara kushughulikia.

4. Muhasibu hufanya calculation na kurudisha kwa HR.

5. HR hupost kwenye mfumo wa mishahara.

6. Approver aliye DODOMA huprove hayo madai na mtumishi huingia moja kwa moja kwenye list la wanaodai kwenye mfumo.

7. Then Hazina hutoa pesa na kuingizwa kwenye mfumo na mfumo huanza kulipa kwa staili ya FIFO (First In First Out).

8. Mtumishi hukuta mpunga wake kwenye account yake ya mshahara.

9. Nae huzitolea kwa ATM na kwenda kunywa Bia..

#YNWA
 
Mene, mene, tekeli na peresi.
Uongozi ni dhamana kutoka kwa Muumba usipoutendea haki watapewa wengine.
 
Mkuu kwenye kichwa cha habari ni uga au ugo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…