Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Kama hii taarifa ni ya kweli basi naamini Ndugai atalegea tu, sasa inaonekana bosi wa nchi hataki lawama, Ndugai akiendelea kushupaza shingo atabaki peke yake.
Mie ndo maana napendaga viongozi wa kiislamu hawapendi kula dhuluma wana hofu na Mungu kuliko wa kwatu wa kuristo, kweli Meko na Ndgai walikua wamedhamilia kula pesa ya mwenzao.
 
Kwa vile na wengine wapo- why Lissu pekee?
 
Sasa aje achukue hiyo hela na aunge juhudi mkono asipige kelele zisizo na sababu
Kelele zake zilikuwa na sababu. Hapo nadhani sasa umeona tofauti ya rais asiye na ulevi wa madaraka, na yule dhalimu aliyekuwa na roho chafu.
 
... tunazungumzia dunia au tunazungumzia watumishi wa umma tena wenye malimbikizo? Simple logic! Rephrase you question.
Huyu ni mmoja kati ya mamilioni ambao wako wakisubiri Mwendazake arudi ili wapate kutoa mashtaka watasubiri sana
 
Mbona kuna jina la Ridhiwan Jakaya Kikwete kwenye hiyo orodha kuna kitu gani kilibainika na kuzusha shuku mpaka uhakiki?
Link: Ministry of Finance and Planning - HOME
 
Kama kweli nitajivua uanachama ccm.
 
Yaani retired RC wa Dar siku hizi amekuwa mpole sana .Duuu mpaka namwonea huruma sana ila kila utawala na zama zake.Kama Lissu analipwa basi ,Mama aongezewe ulinzi kwa kweli
Watu 27,389 wamehahakikiiwa kulipwa akiwemo TAL na RIDHIWAN JK

Kwa mfano kila mmoja anadai TS 9,000,000*27,389 unapata TS 246,501,000,,000/=

Ramani ya fedha imekaaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…