Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
... tunazungumzia dunia au tunazungumzia watumishi wa umma tena wenye malimbikizo? Simple logic! Rephrase you question.
Bashite huyo anataseka sana na jina la Lissu.
Lissu alipwe haki zake sio hisani.
 
NAOMBA KUJUA WAPI YANAFANYIKA MALIPO YA MALIMBIKIZO YA WATUMISHI WA SERIKALI / UMMA?

Habari wana JF naomba nifahamishwe ni wapi yanapo fanyika malipo ya malimbikizo ya watumishi wa umma?

Natanguliza shukran zangu
Wakikujibu jiwe anafufuka
 
Huu ni mwanzo tu. Mh Rais Mama Samia Suluhu Hasaan( Rehema na Amani ziwe Juu yake) amejifunza jinsi Mtu mwovu anavyoweza kutumia madaraka vibaya na kuharibu nchi.

Tutarajie na Mchato wa Katiba Mpya. Yajayo ni Neema Tupu.
 
Akijiuzuku atakula ninu yule. Unadhani ana uwezo wa kuishi nje ya Bunge??
 
hivi cha ajabu nini hapa!!maana lissu amewahi kuwa mtumishi wa uma kupitia ofisi ya bunge!!!

kuna watu wangapi hapo,ila akaonekana lissu!!wazee wa mizuka mnaendelea kudemka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…