Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

Well said
 
Mwambieni akitoka huko aende na Vatican na Kwa mrithi wa TB Joshua ila kamwe hawezi kuwa tena Spika wala Rais wa Nchi hii.
 
Nmeishia kusoma cmnt
Nmecheka sana

Ova
 
Hicho kinachotokea hapo ni upepo wa baitul maqdis upande wa pili.Kwa sababu kwa mayahudi hakuna baraka yoyote.Na ukitaka majibu ya uhakika ni lazima uende alkaaba iliyopo Makkah.Kuna ndugu yangu alikata tamaa kupata watoto.Alipokwenda Makkah na kumshtakia Mungu sasa ana watoto wa,mejaa nyumba.
 
Ni Yoabu!, 1 Wafalme 2: 28 - 35!
Asante mkuu. Ni pale aliposhirikiana na Adunia kumwapisha badala ya Seleman aliyeandaliwa na Baba yake Daudi.

Huyu Yoabu alikuwa kama Bashite mbele ya Daudi. Hadi Daudi mwenyewe alikuwa anamwogopa sana.
 
Umesahau hata Mtume Muhammadi alikuwa anasafiri kwa mguu kutoka Madina kwenda kuhiji Yerusalem?
 
Hao ndio wanakula mema ya nchi bwana,kiinua mgongo cha uspika karibu 80% na za ubunge bado zinaingia,haya bwana acha wafaidi keki ya taifa wenyewe
 
Wewe ndo mtoaji wa hukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…