Tunataka mabadiliko hapo juu kabisa pawe na ambaye si mchagga kwa mara ya kwanza achilia mbali familia ya mwanzilishi wake Bwana Mtei maana Mbowe ni mkweweNa Balance ya Udini na Jinsia hapo vipi?
Mbowe hawakilish wachaga, wachaga wanafurahia zaid CCM kulinda biashara zao, kuanzia Siha mpaka Hedaru, wabunge ni CCM hadi mawaziri..
Hizi bla bla zimepitwa na wakati
Dream team, hapo Abduli na RUSHWA zao hawawezi kuthubutu...✌️Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Hii,kimaadili ikoje? Hii ni kampeni au ni kampeni kabla ya uchaguzi!Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Mkuu, usirudishe kibunda; hiyo ni kodi yako, mshukuru MUNGU na muombe akuelekeza njia sahihi ya matumizi yake katika mamboKazi imekwisha ,uchaguzi ulishaisha, kama umechukua kibunda upande ule ,rudisha ,vinginevyo utakitapika
Mkuu, ebu pambanua; nani kamsaliti nani katika mpambano huu.Wacha waune wagawane mbao ila wajue uchaguzi ukiisha wajue walipo peleka ugali mwamba yupo na hasira nyingi mafichoni kwa usaliti alionyeshwa hadharani!
Sisi!Heche anapoteza muda. Mbowe ni chaguo la wapiga kura wa CHADEMA hakuna namna anaweza kushindwa na Lissu ambaye ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA. Sisi wanaCCM tunamuunga mkono Mbowe.
Hakuna mtu anayefurahia kinachoendelea hivi sasa kama mimi.Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Mkuu, umeshaliona gari lililo katika centre bolt.Vipi kama akishinda Lissu na Wenje, Hilo hujaliona?
Janja janja yenu kwisha!Kila la heri kwake
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
ooh!Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Kwahiyo ulitaka kampeni baada ya uchaguzi?Hii,kimaadili ikoje? Hii ni kampeni au ni kampeni kabla ya uchaguzi!
Huwa wanadhani Bado wapo ktk harakati kumbe wapo ktk nafasi za kufanya maamuzi Kwa usahihiUkiwa mwanaharakat sana hata problem solving skills zako zinakua low. Trust me ukitaka kuprove chukua mtu yoyote aliekua mwanachama sana alafu mpatie uongoz uone atavyokua anapuyanga
Hawatachua duru wote watalambishwa mchanga kama wakikataa kulamba asali kama bosi wao. Unacheza na watawala broHapa ccm utawakuta wanaongea peke yao barabarani ,dadeki
Halafu kesho uje kulia lia hapa ohh ccm sijui niniMbowe usiachie chama kwa lolote lile hata kama umafia
Lissu alisema alimwambia Abduli kuwa akimsaidia alipwe fedha anazodai atakuwa rafiki yake milele.Dream team, hapo Abduli na RUSHWA zao hawawezi kuthubutu...✌️
Hii inaitwa hakuna kulala yaani vyuma tupuNatamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Imenyooka mle mle na kanda maalumu hawanaga mambo ya kiboya boyaMimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu"
Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu.
CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako
Ikitokea Lissu Anachaguliwa KUWA Mwenyekiti na Heche anapata kura za kutosha kuwa makamu. Ccm wataamua kusuka au kunyoa maana wanawajua misimamo yao. Ni watu mahodari, hawaogopi na wamenyooka katika maneno yao. Wananchi walio wengi wanawakubali sana mimi nikiwemoMimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu"
Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu.
CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako