Wacha
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 1,052
- 287
Waacheni waandamane eee😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waacheni waandamane eee😄😄
Mbele ya JPM waende wakatambike au la, hakuna mpinzani huenda hulioni hilo lakini dunia nzima inalifahamu. Covid-19 ndio kwanza inaunguruma Ulaya na kwingineko lakini Tanzania ambao tuliambiwa tutakuwa tunaokota mizoga barabarani tupo kheri.Wapi unahisi CCM iko vizur
Ahaha sasa JPM ndio alitoa dawa ya corona mzee?Mbele ya JPM waende wakatambike au la, hakuna mpinzani huenda hulioni hilo lakini dunia nzima inalifahamu. Covid-19 ndio kwanza inaunguruma Ulaya na kwingineko lakini Tanzania ambao tuliambiwa tutakuwa tunaokota mizoga barabarani tupo kheri.
The mindset which Tanzanians and the rest of Africa are being tough by JPM will only be a lesson for future generations to know that, there is nothing impossible under the sun if you are determined and thank the almighty god for his blessings for you to prosper.
Leadership insight.Ahaha sasa JPM ndio alitoa dawa ya corona mzee?
Ndoto za alinachaNi hivi , CCM imekwisha
Yeye atamjibu Gwajima kwenye ungwe ya mwisho Dar es salaam kuhusu misikiti kuwa sunday school.Vipi sheikh ponda ana chopa yake na yeye
Then, we should believe you with your forged name? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeDont believe everything you hear from Polepole😄
Hiyo asilimia huku Mafinga sijaiona, Mbeya mjini sijaiona, Mbarali sijaiona, Iringa nzima haipo,Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Hiyo ni ya nchi nzima. BTW Chadema wana wanachama wangapi waliojiandikisha kupiga kura? Au bado wanatafuta michango?Hiyo asilimia huku Mafinga sijaiona, Mbeya mjini sijaiona, Mbarali sijaiona, Iringa nzima haipo,
Wamejipanga.Wakiweza kudhibitiwa vilivyo kwenye majumuisho ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura, possibility ya kumalizwa ipo.
Michezo yote hufanyika humo!
Hebu soma ukichoandika!! maana hujaeleweka! akili umeziacha kwa mwenyekiti wenu jiwe!!Pole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. Tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.
Mkuu usitukawize kufurahi!! tutajie kidogo hata kwa pm!!Ni hivi , CCM imekwisha
Hata CCM kupigia kura CDM au CDM kupigia kura CCM poa tu, haigombi.Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Yaani chopa tatu imekuwa taarifa nayo wakati chama dume imeshatumia sana tu na wala hakuna aliyeleta thread humu. Kweli wahenga walisema MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA!!!Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:
View attachment 1604156
Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Ponda'Chopa ya tatu itatumiwa na anayemuunga mkono mgombea wa chadema'
ni yupi huyo 'anayemuunga'?