Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA kwa siku tisa zilizobaki itafanya mikutano 450 ndani ya majimbo 45

Wapi unahisi CCM iko vizur
Mbele ya JPM waende wakatambike au la, hakuna mpinzani huenda hulioni hilo lakini dunia nzima inalifahamu. Covid-19 ndio kwanza inaunguruma Ulaya na kwingineko lakini Tanzania ambao tuliambiwa tutakuwa tunaokota mizoga barabarani tupo kheri.

The mindset which Tanzanians and the rest of Africa are being tough by JPM will only be a lesson for future generations to know that, there is nothing impossible under the sun if you are determined and thank the almighty god for his blessings for you to prosper.
 
Ahaha sasa JPM ndio alitoa dawa ya corona mzee?
 
Mko busy kukusanya michango kwa wananchi wanyonge as if hamkuwa na ruzuku,michango ya wabunge 1.5Mil kila mbunge. Chama cha mjasiriamali Mbowe, hivi huoni hata aibu kuhadaa na kulaghai watanzania?.
IMG_20201017_221108_276.jpg
 
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Hiyo asilimia huku Mafinga sijaiona, Mbeya mjini sijaiona, Mbarali sijaiona, Iringa nzima haipo,
 
Hiyo ni ya nchi nzima. BTW Chadema wana wanachama wangapi waliojiandikisha kupiga kura? Au bado wanatafuta michango?
 
Pole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. Tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.
Hebu soma ukichoandika!! maana hujaeleweka! akili umeziacha kwa mwenyekiti wenu jiwe!!
 
Pole sana Mnyika, yale unayoyategemea ndio yamemwagika. Tatizo ulikuwa hufahamu, hao wapiga kura unaofikiria watatoka wapi? Jiandae kusota tu.
Tuwe wakweli, hivi kati ya wewe Wacha na Mnyika yupi anasota na ataendelea kusota?
 
Hakuna lolote. CCM ina wapiga kura waliojiandikisha 75%, sasa unafikiri hao hawatapiga kura kwa chama chao? Wacheni unafiki! Ukilijua hilo wala huhangaiki na wapiga tarumbeta. tunawadekei tu kwa mbali ... ... .... .
Hata CCM kupigia kura CDM au CDM kupigia kura CCM poa tu, haigombi.
 
Majigambo, matusi, mbwembwe zote mwisho tarehe 28
Kuanzia tarehe 29 tukutane hapa kupeana pole na pongezi😁😁😁😁😁
 
Kuna kimbunga kinakuja maana Katibu mkuu wa CHADEMA ameandika ifuatavyo:

View attachment 1604156

Aidha katika mikutano hiyo zitatumika Chopa tatu ambazo moja itatumiwa na mgombea Urais, nyingine mgombea mwenza na Chopa ya tatu itatumiwa na anayeunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Yaani chopa tatu imekuwa taarifa nayo wakati chama dume imeshatumia sana tu na wala hakuna aliyeleta thread humu. Kweli wahenga walisema MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA!!!
 
Back
Top Bottom