kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Maskini nasikia hata Bia yetu alikimbia makaburiniJohn mnamsingizia tu, kuna dude linaitwa Waberoya, kuna kidemu kinaitwa Wakuvuavua, kuna mswahili anaitwa jingalao, kuna Mgogo anaitwa YEHODAYA aliambiwa azikwe na marehemu kama kweli alikuwa na mapenzi naye akatoroka kwa miguu Chato hadi Nyang'wale.
Hao ndo wanaoteseka kama Bashiru.
Tena alikuwa anacheza miguu yote, kulia na kushoto!Ila kumbe bwashee ni timu chatial...
Anajiita Veronika France huko facebookKwani Cyprian Musiba yupo wapi siku hizi simsikii kabisa???.
Elitwege yupo maternity leave
Mkuu, inaonyesha una maumivu makubwa sana kwa kuondokewa.
Let go. He is gone; will never be back again!
Waberoya umeguswaaaa! Yaaniii!
Hajala huyo njaa tupu
Yehodaya.
Mkuu, inawezekana. Maana, hiki kimya si cha kawaida!Anabadili id huko
Rafiki wa bokiloUnamzungumzia yule ndezi?
Duh!
Bia imeingia majiTumekusikia! Vipi na lile TAGA ANDAMIZI Bia yetu naye kapotelea waaapiii?
Huyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!
Hakika bwashee!Maendeleo hayana chama - Mzee Mgaya.
Usimsahau Bia YetuNakupa sifa kwa kubuni kichwa cha habari kinachovutia wasomaji.
Kwanza nilisita sana kubonyeza hapo kama kawaida yangu ilivyo kwa habari kama hizi; lakini sikuwa na namna, ilibidi niingie tu.
Ukimtaja huyo, nami ntamtaja YEHODAY, Jinga, Magonjwa,...n.k., n.k..
BIA YETU nae sijui kapotea wapiHuyu bwana hapa JF kwa sasa anatia huruma. Huyu ilikuwa humwambii kitu kuhusu Mwendazake> Pamoja na siasa nzuri za ufuatiliaji mambo ila huyu bwana alikuwa too biased kiasi kwamba kwa sasa ni kama anatia huruma. Kwa sasa anajaribu kuwa neutral ili kumsoma Mhe. Samia Suluhu Hassan kama wataendana. Mpaka aeleweke atakuwa kishaugua ugonjwa wa huruma!