Johnthebaptist amevunjwa vunjwa miguu kama Tundu Lissu

Anaisoma namba 🤣🤣🤣
 
Badilisha hiyo id, maana Magu si rahisi tena.
 
Hichi kifo kimefanya watu wapoteane sana humu, wengine kama yule alikuwa anajiita kipara kipya wameingia kabisa mitini na wengine kama sisi kupumua sana.

Ama kweli Mungu ni mwema sana kusikia kilio cha waja wake.
 
Si amebadilishiwa kitengo ndio maana hana tena jipya
 
Yohana Mbatizaji amebatizwa. Ana jina jipya, nalo tunaliona. nalo ni hili
 
Umepanic mzee, bilashaka umeguswa kunako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…