Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu na kinyume chake pia ni kweli.
 
Swala la kutoboa au kutotoboa halina maana sana, tunataka demokrasia na uchaguzi wa haki .
Ni mstari wenye maneno ya hekima na maana kubwa sana kwa mtu yeyote mwenye kujiheshimu na kuwa na akili timilifu; hadi hapo unapo kutana na tafsiri ya maneno hayo hayo yakisemw na uchafuzi wao wa serikali za mitaa! na mashetani kama wale wa Mchengerwa.

Chunga sana usije kujikuta unayahusisha maneno mazuri hayo na uchafuzi ulio ratibiwa na mashetani hao hao; kwani ni wazi kwamba wanayo maslahi makubwa kwenye uchaguzi huu wa viongozi wa CHADEMA
 
mtafute sugu umueleze hayo mambo yako, nani kakwambia sugu anasoma utumbo wako humu
 
Sugu alisaidiwa sana na Mbowe kwenye hiyo Hotel yake ya Uzunguni ndio maana yupo upande wake wanasiasa wengi wanaangalia maslahi na si uzalendo wa Chama au Nchi..
 
Kama kila mtu anatakiwa kumuunga mkono Kiasi basi hakuna haja ya kuwa na uchaguzi na hakuna maana ya demokrasia
 
Sugu huwa.rahisi sana kumjua nia yake ni mapato hakuna cha ziada.

Huu uchaguzi unakwenda kuiweka hadharani dhamira kuu ya wanachadema maslahi akina.sugu. mungai. Msigwa. Boni jacob.

Na chadema wazalendo wataka mabadiliko akina lissu. Mdude. Garatwa. Kamwe chadema haitabaki kama ilivyo. Na itapoteza uungwaji mkono mkubwa kuwahi kutokea.
 
According to you.
 
Usiwafundishe Chadema namna ya kuwapata viongozi wao. Tatizo kwani ni nini? Kuna mtu kaenguliwa? Si msubiri sanduku la kura liongee.
 
Ndio vizuri,matajiri na matajiri wenzao .

Nyie maskini komaeni na demu wa Amsterdam,Kwa nini tuchaguliane mfumo wa Maisha? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Njia nyeupee Kwa Tulia labda atapata ugumu tuu kama yule ropo ropo wa TLS atagombea
 
Kwenye uchaguzi wa Mwenyekit Kanda ya Nyasa Mbowe ndio alimpa uenyekit Sugu dhidi ya Msigwa wa Lissu.

Mpaka dakika hii Msigwa na Sugu hawana maelewano .

Akishinda Lissu litakuwa pigo kubwa Kwa Sugu.
Yani Lisu akishinda uchaguzi wao, basi Sugu siasa ndo bye bye.
 
Yani kama karata basi Sugu kalamba galasa la mavi 🀣🀣🀣
 
mtafute sugu umueleze hayo mambo yako, nani kakwambia sugu anasoma utumbo wako humu
Sugu yupo humu na ID yake naifahamu. Uzuri ni kwamba uzi ashausoma na kujitetea kupitia ID yake hiyo fake ambayo ni wachache tu tunaifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…