Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Wanasema account ya Sugu wahuni wameihack ...
 
Nina mashaka na uraia wako, kisa siasa tu unawaita wenzako mbwa? Hivi wewe ni mnyarwanda au mburundi?

Mbona umekosa ustaarabu wewe kiumbe wa mungu? Tanzania hatuna watu wenye roho za kinyama kama yako.
Kumbe walichelewa ?Sasa kwa nini wanabweka kama mambwa kuwa wamezuia ?Au ndo kama ya Mbowe kuvamiwa kumbe kala mzinga kisa mzinga wa Konyagi.
 
Nyinyi mbona mliwakataza hata wabunge wenu kwenda hospital Nairobi kumjulia hali mh Lissu?
Wewe nawe akili yako haina akili tunaongelea issue ya leo wewe unaleta habari ya mwaka juzi!
 
Unamaanisha nini walipewa ratiba sio? Umeelewa kwanza nilichoandika? Jana jioni Serikali iliweka wazi kabisa ratiba kwa viongozi wote kwa namna ya kuafuata. Viongozi waliofuata ratiba si wajinga.....
Ratiba viongozi hupewa na idadi ya ujumbe na sehemu ya kukaa, hiyo uliyoisikia ni taarifa tu kwa umma. Ninachokueleza ninauhakika nacho, acha mambo ya mtaani.
 
kwani shida iko wapi,itifaki ifuate mkondo wake
 
Hata uandishi nina wasiwasi nao hapa kuna fitna toka kwa Tulia team
 
Ila kiprotocal chadema wamechemsha leo, kawaida inatakiwa kuingia mapema kwenye shughuli kabla mkuu wa nchi ajaingia. Labda Kama kwa sababu ya uchovu wa Safari alipitiwa usingizi

Kwangu mimi hawakupaswa hata kwenda kwenye hiyo shughuli. Maana ukiacha Tundu Lisu ambaye amekuja jana. Toka jpil huo mwili uko hapo uwanjani, wangeweza kwenda kama walikuwa na nia ya kuaga kweli. Huyo Mkapa sijawahi kumuona kwenye msiba wa mwanacdm yoyote, kwanini wao cdm wahudhurie msiba wa mtu aliyekuwa anawafanyia hujuma za wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…