GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ana tatizo la inferiority complex!Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Basi mwanaume kumlisha,kumvisha na kumpa mahitaji mwanamke wake ni UJINGA.Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Margareth Thacher, 'The Iron Lady', waziri mkuu wa zamani Uingereza.Ni nani huyo mkuu?
Na ninyi msituombe hela ya matumizi wala kutuomba usaidizi wowote.Mapovu yamewatoka🤣🤣🤣🤣
Kwani hamna mikono???
Nope ni jinsi anavyo deliver...Mapovu yamewatoka🤣🤣🤣🤣
Kwani hamna mikono???
Naona unachanganya mada au hujamuelewa huyu mwanamke.Tena mwanaume akisaidia kuosha vyombo, huku mnakiss. Anakusaidia kupika huku mnakunywa zenu wine. So Romantic, hebu wasaidieni wake zenu huko. Hiyo mikono mmepewa mfanyie nini? Hakuna punda binadamu. Siku msaidizi yuko off, fanyeni kazi za home pamoja. Hakuna umwinyi.
Kuna wanawake wanajitegemea kila kitu..ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe, kuchangia ujenzi wa nyumba, kununua gari kwa pesa yake, kuchangia ada ya watoto. Anaamka kwenda kazini saa 12 na kurudi jioni. Huyo ana haki ya kutokuhudumia mume. Ukitaka uhudumiwe gharamia kila kitu kwa asilimia mia, hutasikia mwanamke wako akiongea kama joyce kiria.Na ninyi msituombe hela ya matumizi wala kutuomba usaidizi wowote.
Kwani hamuna nguvu/uwezo?
Kila mtu aishi anavyoona yeye ni sawa..kama anakubali kutokuhudumiwa sawa, kama hakubali akatafute anae kubali. Hivyo tu yaaniNope ni jinsi anavyo deliver...
We unaonaje ?😆
Fact ni kuwa maumivu huwa sio ya group au pamoja, maumivu halisi huwa ni ya muhusika anaepitia.
Inawezekana anafundisha hasira na mateso yake binafsi.
Atakaefua sawa, asiefua na kumsaidia mumewe sawa vile vile kama wenyewe wanaelewana na kukubaliana, mtu mwenyewe huwa nikimcheki(sio kwa ubaya) namuona kama mtu asie na nafsi, "anakufa kabla ya kuishi"
Wewe una uhakika gani kama Joyce alikua ahudumiwi!??Kuna wanawake wanajitegemea kila kitu..ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe, kuchangia ujenzi wa nyumba, kununua gari kwa pesa yake, kuchangia ada ya watoto. Anaamka kwenda kazini saa 12 na kurudi jioni. Huyo ana haki ya kutokuhudumia mume. Ukitaka uhudumiwe gharamia kila kitu kwa asilimia mia, hutasikia mwanamke wako akiongea kama joyce kiria.
Mume wake yupo wapi?Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Sasa hapo ndio umeongea.Kila mtu aishi anavyoona yeye ni sawa..kama anakubali kutokuhudumiwa sawa, kama hakubali akatafute anae kubali. Hivyo tu yaani
MTIHANI HUUAnafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Mimi sijui maisha yake wala sihitaji kuyajadili. Ninachojadili ni kauli aliyoitoa. Si lazima kumuhudumia mume, anayetaka afanye na asiyetaka asifanye. Kikubwa makubaliano...Wewe una uhakika gani kama Joyce alikua ahudumiwi!??
Je una uhakika gani kama wanawake wanaojiweza kifedha hawahudumii familia zao kwa kufua,kupika na kuosha vyombo?
Nina aunty yangu jaji usuluhishi wa ardhi pale Kivukoni(jina nahifadhi) na mbaka gari kapewa Land cruier V8 na mshahara mnono ila anahakikisha mahakama ikifunga kazi chakula cha jioni anapika yeye kwaajili ya familia yake,na mumewe ana kazi ya kawaida saanaaa.
Je hilo unalizungumziaje!??
Shida yenu wanawake kama panzi hamueleweki nini mnataka.
Na hata athari zake zimeanza kuonekana mkuu.Matokeo ya 50/50.
I. Kila mtu ajihudumie na kujilisha mwenyewe.
II. Akizaliwa mtoto basi kila mzazi achangie huduma ya malezi ya mtoto.
III. Awepo mfanyakazi ambae ataweza kufanya usafi nyumbani ambae atalipwa na watu wote wawili.
IV. Mkitoka outing kila mtu ajilipie mwenyewe.
V. Kila mtu afanye anachokitaka ndani ya ndoa kwasababu anatumia pesa zake mwenyewe na hakuna kupangiana.
Tukienda hivi atakae athirika zaidi ni mwanamke, kwasababu wote tunajua kama wanawake ni tegemezi kwenye mambo madogo madogo ambayo huitaji zaidi support ya mwanaume.
I. Mwanaume ni mtu simple kuanzia kula, kuishi hadi usafi, Yaani kula mwanaume atakula tu hata hotelini, Usafi beki tatu atafanya nk.
II. Matumizi kwa mwanaume yatapungua kwa kiasi kikubwa tena sana.
III. Kuhusu Sex mke ukikaza kisa sijui haujisikii mara umechoka basi mwanaume atatomba nje.
Kwa mantiki hii ya 50/50 ina maana kutakuwa hakuna umuhimu wa ndoa tena hivyo vijana watatia mimba na kulea watoto tu na kuongezeka kwa wimbi kubwa la single mamas.
Sasa yeye hajasema kuwa "sio lazima kumhudumia mume" kasema "ni ujinga kumhudumia mume" unapoki term kitu kama ujinga it means HAKIPASWI KUFANYIKA.Mimi sijui maisha yake wasihitaji kuyajadili. Nonachojadili ni kauli aliyoitoa. Si lazima kumuhudumia mume, anayetaka afanye na asiyetaka asifanye. Kikubwa makubaliano...
Kama mume anaona sawa sisi ni nani tupinge?
50/50 ni vita mkuu tena ni ya uchumi kabisa kwasababu kati ya mke na mume yule mwenye uchumi mkubwa ndio mshindi and vice versa.Na hata athari zake zimeanza kuonekana mkuu.
Wanawake waumini wa 50/50 ama feminism wengi wao wapo kama huyo Joyce Karia.
Na wengi wao wapweke saaanaaaa.
Mkuu mwanaume ni mwanaume tu hata kama akiwa na uwezo mdogo wa kifedha.50/50 ni vita mkuu tena ni ya uchumi kabisa kwasababu kati ya mke na mume yule mwenye uchumi mkubwa ndio mshindi and vice versa.