GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa jinsi tu ninavyoona hii Mikucha yake nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa hanuki Papa na hajui Kuosha Papa lake.Anafunguka mwanaharakati.....
"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria
Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Mbona mabeki3 ndio tunaongoza kufuaHuyu mwanamke ni ithibati tosha kuwa unaweza mtoa mtu toka ushambani ila ni ngumu kuutoa ushamba ndani ya mtu.
Ameshindwa kutofautisha 'feminism' (anao jinasibu nao) na ulimbukeni. She is trying too hard ku prove kuwa she is no longer a housemaid (si kwamba ni jambo baya kuwa beki 3) lakini anaishia kudhihirisha ulimbukeni wake tu in the process.
Kiria will always be a village housemaid at heart.
huyu mama siku zote amekuwa mpotoshaji sana kwa wake za wa2!! ni mwanaharaki anayesambaratisha ndoa nyingi sana,hasa ushauri kama huu ukimfikia mwanamke mpumbavu!!!...........ingekuwa ni afghanstan,angefungwa mnyororo shingoni na angelekwa uwanja wa taifa,na huko angekatwa shingo!!!Wadau nimeikuta hii mahali:
Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"
~Joyce Kiria, Mwanaharakati.
Hata kama mwanamke anajitegemea kwa kila tu,bado atabaki kua mke tu na bado mimba atabeba yeye na wala hawezi kua Mume!!Kuna wanawake wanajitegemea kila kitu..ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe, kuchangia ujenzi wa nyumba, kununua gari kwa pesa yake, kuchangia ada ya watoto. Anaamka kwenda kazini saa 12 na kurudi jioni. Huyo ana haki ya kutokuhudumia mume. Ukitaka uhudumiwe gharamia kila kitu kwa asilimia mia, hutasikia mwanamke wako akiongea kama joyce kiria.
Basi hata sisi kuwahudumia ninyi ni ujinga maana mna baba na mama zenu mlipotoka.Kweli ni ujinga lakini ndo hivyo inabidi kuishi nao maana ndivyo tulivyojizoesha
Aah, Kasugi kumbe Jaji ---- ni ni Aunty yako?Nina aunty yangu jaji usuluhishi wa ardhi pale Kivukoni(jina nahifadh
Ndio uko sahihi.Sikupingi mkuu na huo ndio uhalisia ila kwa ulimwengu wetu wa sasa mke au mume yule ambae atakuwa na uchumi mkubwa kuliko mwenzake ndio ataamua mwenzake am-treat vipi.
AaliyahHaya Maisha tafuta watoto wako waleee bas haya mambo ya ndoa waachie wasio na akili..... imagine uishi na taka taka kama hiyo ndani
😂😂😂😂
Huu ni ukweli wenye maumivu makali sana...Huyu mwanamke ni ithibati tosha kuwa unaweza mtoa mtu toka ushambani ila ni ngumu kuutoa ushamba ndani ya mtu.
Ameshindwa kutofautisha 'feminism' (anao jinasibu nao) na ulimbukeni. She is trying too hard ku prove kuwa she is no longer a housemaid (si kwamba ni jambo baya kuwa beki 3) lakini anaishia kudhihirisha ulimbukeni wake tu in the process.
Kiria will always be a village housemaid at heart.
Mabeki tatu wapewe tuzo zao.Mbona mabeki3 ndio tunaongoza kufua
Usiuterm ubeki tatu kama kitu duni
Kumbe😀Pole sana, ukajua nishakufa? Nilibadili Tu kidogo ubatizo
Ndo hivyo wengine wamegoma kuwahudumia na hamna la kuwafanya😀Hata kama mwanamke anajitegemea kwa kila tu,bado atabaki kua mke tu na bado mimba atabeba yeye na wala hawezi kua Mume!!
Karibu Sana Sana Dar, huku tunakula chips Tu ....Kumbe😀
Ndio mkuu japo sijazungumza naye muda.Aah, Kasugi kumbe Jaji ---- ni ni Aunty yako?
Ngojea aje ajue kumbe mjamaa ana akili za kumzalisha amuweke kundi la singo mazeri.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ossie taratibu!
😂😂😂Buku moja....?wee mi ningekuuliza...kuna siku nilifua nikakuta hewa ikabidi niseme kiutani jamani uwe unaacha kiinua mgongo,akachekaKuna dada yangu alikua anapenda sana kunifulia nikaja kugundua huwa kuna chenji nilikua naziacha sasa nilichokua nafanya kila nikiacha nguo naweka na buku mfukoni, nikirudi nampa tena buku ya soda basi alikua ananiona faala kumbe ilikua ni trap