Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Anafunguka mwanaharakati.....

"Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria

Natoa pole nyingi kwa mwanaume yeyote aliye na mke kama huyu mwanaharakati. View attachment 3098192
Kwa jinsi tu ninavyoona hii Mikucha yake nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa hanuki Papa na hajui Kuosha Papa lake.
 
Huyu mwanamke ni ithibati tosha kuwa unaweza mtoa mtu toka ushambani ila ni ngumu kuutoa ushamba ndani ya mtu.

Ameshindwa kutofautisha 'feminism' (anao jinasibu nao) na ulimbukeni. She is trying too hard ku prove kuwa she is no longer a housemaid (si kwamba ni jambo baya kuwa beki 3) lakini anaishia kudhihirisha ulimbukeni wake tu in the process.

Kiria will always be a village housemaid at heart.
Mbona mabeki3 ndio tunaongoza kufua
Usiuterm ubeki tatu kama kitu duni
 
Wadau nimeikuta hii mahali:
Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"
~Joyce Kiria, Mwanaharakati.
huyu mama siku zote amekuwa mpotoshaji sana kwa wake za wa2!! ni mwanaharaki anayesambaratisha ndoa nyingi sana,hasa ushauri kama huu ukimfikia mwanamke mpumbavu!!!...........ingekuwa ni afghanstan,angefungwa mnyororo shingoni na angelekwa uwanja wa taifa,na huko angekatwa shingo!!!
 
Haki sawa kama wanandoa mnaishi nyumba ya kupanga na Kodi ni 300,000 kwa mwez mke atoe 150,000 na mume atoe 150,000.ada na chakula Cha nyumbani vivyo hivyo.mkiajiri house girl or house boy mnamlipa 150,000 per month,mke atoe 75,000 na mume 75,000. Yaan kila kitu pasu pasu....Kama mwanaume umemuona mwanamke anaishi kwenye nyumba yko hakikisha anakulipa kodi.au akurudishie nusu ya ujenzi wa nyumba yako kama nyumba uliijenga kwa ml.100.mke akifika kwako hakikisha anakupa ml.50.na anakupa nusu gharama ya ununuzi wa kiwanja .yaani kila kitu 50/50. Siku unatoa mahari na wazazi wa mwanamke wakakuambia mahari ya kumuoa bint Yao ni ml.5 hakikisha huyo mwanamke anatoa ml.2.5.akiumwa gharama za matibabu utakazotumia kumuuguza akipona hakikisha anakulipa na ww ukiumwa gharama atakazotumia mke wako kukuuguza hakikisha unamlipa vinginevyo kila mtu ajiuguze kwa pesa yake ,au auguzwe na ndugu zake .usimpe mkeo pesa ya matumizi yake binafsi kama pesa ya salon,mavazi,nk.mmoja wenu asithubutu kuisaidia familia ya mwenzake kifedha kila mtu adeal na familia .usimuandikishe mkeo kwenye urithi wa Mali yako yoyote ile na usimshirikishe ktk masuala yako ya kiuchumi na maendeleo.hii ndiyo misingi ya haki sawa ..ikiwa umeshindwa kuisimamia misingi ya haki sawa usioe .Ukibanwa na haja ya kufanya sex nenda kanunue mwili wa mwanamke yeyote maliza haja zako sepa . Mwanamke vivyo hivyo akibanwa na haja ya sex akatafute mwanaume akidhi haja zake asepe.Bila kusahau mkizaa watoto kwenye kila hatua ya malezi na gharama za mtoto au watoto hakikisheni mnaweka usawa wa 50/50 ikiwa haiwezekani tafuta demu yeyote nje piga mimba mambo yasiwe mengi.

50/50 IZINGATIWE ☕
 
Kuna wanawake wanajitegemea kila kitu..ana uwezo wa kujihudumia mwenyewe, kuchangia ujenzi wa nyumba, kununua gari kwa pesa yake, kuchangia ada ya watoto. Anaamka kwenda kazini saa 12 na kurudi jioni. Huyo ana haki ya kutokuhudumia mume. Ukitaka uhudumiwe gharamia kila kitu kwa asilimia mia, hutasikia mwanamke wako akiongea kama joyce kiria.
Hata kama mwanamke anajitegemea kwa kila tu,bado atabaki kua mke tu na bado mimba atabeba yeye na wala hawezi kua Mume!!
 
Kweli ni ujinga lakini ndo hivyo inabidi kuishi nao maana ndivyo tulivyojizoesha
Basi hata sisi kuwahudumia ninyi ni ujinga maana mna baba na mama zenu mlipotoka.
Ila ndio hivyo tumejizoesha kuishi nanyi.
 
Sikupingi mkuu na huo ndio uhalisia ila kwa ulimwengu wetu wa sasa mke au mume yule ambae atakuwa na uchumi mkubwa kuliko mwenzake ndio ataamua mwenzake am-treat vipi.
Ndio uko sahihi.
Ila mwishowe wanaoumia zaidi ni hao wanawake kuliko wanaume.
Maana wanawake kuna situation wao mikazo sifuri maana ni situation zinazohitaji uanaume.
Mwishowe ndio depression,desperation,stress,loneliness zinapowatafuna hawa feminists.
Kiasi wanakuja kutafuta furaha kwa nguvu ila moyoni kunatokota.
 
Huyu mwanamke ni ithibati tosha kuwa unaweza mtoa mtu toka ushambani ila ni ngumu kuutoa ushamba ndani ya mtu.

Ameshindwa kutofautisha 'feminism' (anao jinasibu nao) na ulimbukeni. She is trying too hard ku prove kuwa she is no longer a housemaid (si kwamba ni jambo baya kuwa beki 3) lakini anaishia kudhihirisha ulimbukeni wake tu in the process.

Kiria will always be a village housemaid at heart.
Huu ni ukweli wenye maumivu makali sana...
 
Aah, Kasugi kumbe Jaji ---- ni ni Aunty yako?
Ndio mkuu japo sijazungumza naye muda.
Sijajua kama bado yuko pale maana huwa wanahamishwa.
Alikua anakaa Mahakama chumba no.18 kama sijasahau.
 
Kuna dada yangu alikua anapenda sana kunifulia nikaja kugundua huwa kuna chenji nilikua naziacha sasa nilichokua nafanya kila nikiacha nguo naweka na buku mfukoni, nikirudi nampa tena buku ya soda basi alikua ananiona faala kumbe ilikua ni trap
😂😂😂Buku moja....?wee mi ningekuuliza...kuna siku nilifua nikakuta hewa ikabidi niseme kiutani jamani uwe unaacha kiinua mgongo,akacheka
 
Back
Top Bottom