Nyumba nzuri na makazi mazuri ya Wachaga ndio hufanya wapende kurudi makwao december, na sasa hata marafiki zao wa mikoa mingine wanapenda kwenda kilimanjaro.
 
Mie siwezi sema nimwizi lla nachojuwa karibu na nyumba hiyo kule machame mbele kidogo mkono wa kulia ukiwa unapanda toka wilayani hai kwenda machame baada yakuvuka hapo kwake Yupo na Hotal nzuri sana pia. Mimi nampongeza kwa mapambano ya kujenga familiy yake na familia yenye makazi na malazi cjuwi au sehemu yakulala kiswahili bhana🤣🤣🤣🤣
 
Ni uongo kujenga hiyo nyumba miezi mitatu.
 
Kama imekuuma kweli kajinyonge kisha acha ujumbe unaoelezea sababu zako za kujitundika. Tafuta hela acha ufala.
Makasiriko yanasababishwa na umaskini.
Awamu iliyopita maskini walipewa jina ya "wanyonge" na wakaaminishwa hiyo hali yao imeletwa na "matajiri" na wakawa washangiliaji wa "utumbuaji"
 
Nikujuze tu mbowe hajatokea swekeni n Wala hajatokea familia masikini kama ww na wengine.
 
Uwa akiwa anatoka kwake anapita nyumba nyingi kuu kuu zipo migombani,anapata uchungu zaidi wa kuwapigania wanyonge,akilala anawasha ac anakula upepo,akiwa kwenye mwanga wa asubuhi warm kama yupo mbinguni,huyu ndiye mtetezi wa masikini.
 
Wasisahau kuwa jamaa anamiliki hotel tangu miaka inaitwa AISHI HOTEL wanalala sana watalii hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…