Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Ila WA CCM wakijenga mahekalu ni sawa...hii nchi Ina watu wa hovyo sanaAmeandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Ya kwenu mama yenu wa vikoba anapelekea waarabuMichango yao imejengwa jumba
Walivyo mambumbumbu yatakenua tu kama malaya wa mwananyamala
Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Ubaya hao mafisiemu hawana biashara zaidi ya ukwepaji kodi na kufisadi hela na rasilimali za nchiIla WA CCM wakijenga mahekalu ni sawa...hii nchi Ina watu wa hovyo sana
Safi sana Mh.Mbowe,endelea kufanya maendeleo na tunatamani kupata rais kutoka kwenye makabila yanayojitambua namna hii.Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Kumbuka unaowaandikia hivi ndo hawa type ya Makonda. Hawajawahi kua na akili hata siku moja mkuuTatizo la wengi wetu ni kuamini kile unachofahamu kuhusu mtu ndicho asilimia mia moja ya maisha yake. Mbowe is a business man kabla na hata baada ya siasa ataendelea na biashara zake.
Hiyo version moja ya uenyekiti isitufanye tukasahau amekuwa Mbunge na ana vyanzo vingine vya mapato. Na by the way,ni kiongozi gani nchi hii ni fukara? Tungemdharau asingeweka familia pahali pazuri na salama.
HV una akili timamu Hilo jumba Lina dhamni ya milion 500 si kila mchaga angejenga gorofa acheni ujinga Hilo jumba inakwenda billion 3,4Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Nimeishia kusoma hapa, Pure propaganda. Rodrick Lutembeka ndio anaidhinisha nashangaa hujamuweka hapo. Plus katibu mkuu umemruka pia!!Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.
Unaijua ya shangazi yenu Supuka wa bunge butu? Ile ambayo shoga ake bibi wa Vikoba alimgawia baada ya kuuza bandari akaenda kuipokelea pesa Moroco ili aje afanye finishing.Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Mkuu Mbowe hajajenga hiyo nyumba kwa miezi mitatu. Tangu 2018 niliona anaendelea na ujenzi. Hiyo nyumba hadi kukamilika ina zaidi ya miaka minne.Ameandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Wewe mwenye akili timamu tuambie ...nini amekosea au amevunja Sheria gani katika kijenga nyumba yake!??HV una akili timamu Hilo jumba Lina dhamni ya milion 500 si kila mchaga angejenga gorofa acheni ujinga Hilo jumba inakwenda billion 3,4
upo na ndugu zako wakati wao wanatandikwa za pua, wewe unakula mihogo huko mbagala huna mbele wala nyuma, si uende ukawasaidie kupigana kule gaza? maneno meeengi, pandeni ndege mkapambane na vijana wa kiyahudi, wao hawajui jihad wala nini, wanatandika hadi anayejifanya haogopi kifo anapiga kelele kuomba msaada.Tupo na ndugu zetu wa Palestina. Hayo mengine ni yenu
Kweli kabisa wakati wa uzinduzi wake alisema ujenzi umeanza tangu 2017Mkuu Mbowe hajajenga hiyo nyumba kwa miezi mitatu. Tangu 2018 niliona anaendelea na ujenzi. Hiyo nyumba hadi kukamilika ina zaidi ya miaka minne.
Nakumbuka mwaka 2019 nilipita maeneo hayo nikakuta ujenzi unaendelea. Ahadi mojawapo ya mwanaCCM ni kutosema uongo. Mimi nimetimiza wajibu wangu wa kukanusha huo uongo ulioandika.
Muislam ni ndugu yake muislam. Usiwe na shaka. Halafu muislam akifa anapigania dini na ardhi yao ni peponi. Kwa hivyo Palestina wanatangalia ambapo mimi na wewe tutaenda. Wao ni peponi wewe na wenzio motoniupo na ndugu zako wakati wao wanatandikwa za pua, wewe unakula mihogo huko mbagala huna mbele wala nyuma, si uende ukawasaidie kupigana kule gaza? maneno meeengi, pandeni ndege mkapambane na vijana wa kiyahudi, wao hawajui jihad wala nini, wanatandika hadi anayejifanya haogopi kifo anapiga kelele kuomba msaada.
Hawajui Kama huyo Mzee ana pesa eeh! Watajua tuNa hapo Mbowe hajaanza kutumia hela zake,hizo ni za mzee Aikael.Mbona Lumumba wataandika nyuzi nyingi aisee....
sasa, kama ukifa unapigania dini unaenda sehemu nzuri namna hiyo, si mjisogeze tu pale gaza mkapiganie dini ili mwende kupata raha mapema? hamuoni mood aliwadanganya parefu sana?na kama wapalestina ni ndugu zenu katika imani, wale waislam wa misri wanaouawa na waislam wenzao vipi wale hamuwezi kuwatetea? au mwarabu ni keki, ila mbantu ni magimbi tu.Muislam ni ndugu yake muislam. Usiwe na shaka. Halafu muislam akifa anapigania dini na ardhi yao ni peponi. Kwa hivyo Palestina wanatangalia ambapo mimi na wewe tutaenda. Wao ni peponi wewe na wenzio motoni