Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Ila WA CCM wakijenga mahekalu ni sawa...hii nchi Ina watu wa hovyo sana
 
Mbowe ni tajiri hata kabla ya kuzaliwa kwa baadhi yetu. Siwezi kushangaa kwa mtu kama mbowe kujenga nyumba uzeeni kama hii hapo kwenye picha.

Mbowe ni Tycoon kwenye biashara. Achana na siasa kwanza muangalie kwenye biashara zake halali na analipa kodi halali sio hawa kina bashiteke wanaovisha funiture bila kodi pale bandarini na biashara za magendo kama zote.

Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Safi sana Mh.Mbowe,endelea kufanya maendeleo na tunatamani kupata rais kutoka kwenye makabila yanayojitambua namna hii.

Kwa muda amboo Mh.Mbowe amekaa bungeni,na viinua mgongo ambavyo anapata kila bunge likivunjwa
asingejenga nyumba ya namna hii ningemshangaa. Ikumbukwe familia ya akina Mbowe ni matajiri tokea zamani.
Tujitahidi kuacha roho mbaya angalau Mungu asipotukumbuka sisi,basi awakumbuke watoto wetu.
 
Tatizo la wengi wetu ni kuamini kile unachofahamu kuhusu mtu ndicho asilimia mia moja ya maisha yake. Mbowe is a business man kabla na hata baada ya siasa ataendelea na biashara zake.

Hiyo version moja ya uenyekiti isitufanye tukasahau amekuwa Mbunge na ana vyanzo vingine vya mapato. Na by the way,ni kiongozi gani nchi hii ni fukara? Tungemdharau asingeweka familia pahali pazuri na salama.
Kumbuka unaowaandikia hivi ndo hawa type ya Makonda. Hawajawahi kua na akili hata siku moja mkuu
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
HV una akili timamu Hilo jumba Lina dhamni ya milion 500 si kila mchaga angejenga gorofa acheni ujinga Hilo jumba inakwenda billion 3,4
 
Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.
Nimeishia kusoma hapa, Pure propaganda. Rodrick Lutembeka ndio anaidhinisha nashangaa hujamuweka hapo. Plus katibu mkuu umemruka pia!!

BS
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Unaijua ya shangazi yenu Supuka wa bunge butu? Ile ambayo shoga ake bibi wa Vikoba alimgawia baada ya kuuza bandari akaenda kuipokelea pesa Moroco ili aje afanye finishing.
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Mkuu Mbowe hajajenga hiyo nyumba kwa miezi mitatu. Tangu 2018 niliona anaendelea na ujenzi. Hiyo nyumba hadi kukamilika ina zaidi ya miaka minne.

Nakumbuka mwaka 2019 nilipita maeneo hayo nikakuta ujenzi unaendelea. Ahadi mojawapo ya mwanaCCM ni kutosema uongo. Mimi nimetimiza wajibu wangu wa kukanusha huo uongo ulioandika.
 
HV una akili timamu Hilo jumba Lina dhamni ya milion 500 si kila mchaga angejenga gorofa acheni ujinga Hilo jumba inakwenda billion 3,4
Wewe mwenye akili timamu tuambie ...nini amekosea au amevunja Sheria gani katika kijenga nyumba yake!??
 
Kwa kweli nilivyoona hii picha mara ya kwanza, nikadhani yuko US katika ziara ya kichama,
Daah! Sio mchezo, hii nyumba ni.........

1699893660337.png
 
Mbowe kaonyesha nyumba yake mmeanza kelele licha ya watu kuzawadiwa vyeo kwa kumvunjia greenhouse yake ,club bilcanass na vikwazo vingi japo tunaomfahamu Mbowe kitambo tunafahamu katokea familia ya aina gani.

Kuna mtu anaitwa Makonda kaibuka ghafla kutoka Kolomije kajitwalia ukwasi wa kutupa kwa miaka 3 tu hadi Abdul Nondo aliomba kukagua daftari la maslahi , rasilimali na madeni kwa za viongozi wa umma ambayi ipo kisheria wakamuwekea vizingiti na mizengwe kibao.

Tuanze na huyu wa Kolomije kwanza maana hata Mbowe vitu alivyofanyiwa awamu ile kwa fitna nina hakika hajapewa fidia .

Hatujasahau uongozi ule wa vichaa ambao huyu mama yenu naye ameuanza rasmi.

Wa Kolomije arudishe viwanja,magari , pesa alizopora ambacho hatoweza kurudisha ni roho za watu tu .
images (33).jpeg
images (32).jpeg
 
Tupo na ndugu zetu wa Palestina. Hayo mengine ni yenu
upo na ndugu zako wakati wao wanatandikwa za pua, wewe unakula mihogo huko mbagala huna mbele wala nyuma, si uende ukawasaidie kupigana kule gaza? maneno meeengi, pandeni ndege mkapambane na vijana wa kiyahudi, wao hawajui jihad wala nini, wanatandika hadi anayejifanya haogopi kifo anapiga kelele kuomba msaada.
 
Kuna kijana nilimuambia hiyo nyumba kajenga hivi karibuni maana anaenda kuzeeka ...Eti ooh ni ya tangu mwaka 2010
😅😅
 
Mkuu Mbowe hajajenga hiyo nyumba kwa miezi mitatu. Tangu 2018 niliona anaendelea na ujenzi. Hiyo nyumba hadi kukamilika ina zaidi ya miaka minne.

Nakumbuka mwaka 2019 nilipita maeneo hayo nikakuta ujenzi unaendelea. Ahadi mojawapo ya mwanaCCM ni kutosema uongo. Mimi nimetimiza wajibu wangu wa kukanusha huo uongo ulioandika.
Kweli kabisa wakati wa uzinduzi wake alisema ujenzi umeanza tangu 2017
 
upo na ndugu zako wakati wao wanatandikwa za pua, wewe unakula mihogo huko mbagala huna mbele wala nyuma, si uende ukawasaidie kupigana kule gaza? maneno meeengi, pandeni ndege mkapambane na vijana wa kiyahudi, wao hawajui jihad wala nini, wanatandika hadi anayejifanya haogopi kifo anapiga kelele kuomba msaada.
Muislam ni ndugu yake muislam. Usiwe na shaka. Halafu muislam akifa anapigania dini na ardhi yao ni peponi. Kwa hivyo Palestina wanatangalia ambapo mimi na wewe tutaenda. Wao ni peponi wewe na wenzio motoni
 
sasa, kama ukifa unapigania dini unaenda sehemu nzuri namna hiyo, si mjisogeze tu pale gaza mkapiganie dini ili mwende kupata raha mapema? hamuoni mood aliwadanganya parefu sana?na kama wapalestina ni ndugu zenu katika imani, wale waislam wa misri wanaouawa na waislam wenzao vipi wale hamuwezi kuwatetea? au mwarabu ni keki, ila mbantu ni magimbi tu.
 
Back
Top Bottom